Hii sasa Kali Angalia Picha,Unataka midomo tofauti,Daktari anakosea,Imemtokea Mwigizaji wa kike wa filamu za X.
Farrah Abraham mwigizaji wa filamu za wakubwa amekutwa na mkasa
uliobadilisha maisha yake baada ya kufanyiwa zoezi la kuongeza midomo
yake na daktari kukosea na midomo kuwa tofauti na alivyotaka.
Farrah anasema ” alifanya uchunguzi wa
zoezi hili na kumtafuta daktari bora wa kazi hii, ganzi niliyochomwa
kabla ya zoezi ndio imesababisha nipate tatizo hili, haikuendana na mimi ” .
No comments:
Post a Comment