WAKUBWA TU Picha,Mwanamitindo aliyetoa mbavu mbili ili awe na umbo namba nane.
Mwanamitindo na stripper maarufu kutoka Miami ‘Estrelle’ amefanya
maamuzi ya mugumu ili kupata muonekano aupendao. Model huyu wa video na
matangazo amekubali kutolewa mbavu zake mbili ili apate umbo namba 8.
Mwana mitindo huyu alikwenda Miami kwenye hospitali maarufu
inayofanya zoezi hilo ambalo limetajwa kuwa ni hatai sana na kupona kwa
mgonjwa inaweza kuchukua mpaka miezi 6 kupona.
No comments:
Post a Comment