Hii Sasa Kali Check Video ya Mfanyakazi wa hoteli alivyonaswa akipekua vitu vya mteja chumbani Ingia Hapa Kwa Habari Kamili
Ni Happiness Watimanywa… Tanzania kwenye rekodi nyingine kubwa Miss World 2014 Soma Hapai Kwa Habari Kamili
Watanzania
wameamua kwamba tukiamua tunaweza, good news kutoka London Uingereza,
ambako yanafanyika mashindano ya Miss World mwaka 2014.
Happiness Watimanywa, mwakilishi wa
Tanzania kwenye mashindano hayo ameshare na sisi taarifa nyingine nzuri
kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Happiness kaandika hivi; “Hey
guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi
nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja
tutafika. #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu“– @happinesswatimanywa
Zoezi la upigaji wa Kura litasitishwa leo December 14, jioni ambapo Fainali hizo zitakuwa zinafanyika London, Uingereza.
Unaweza kuendelea kumpigia kura mshiriki huyo ili arudi na Taji la Miss World 2014.
Jamani Jamani Hivi ndivyo Whatsapp imevunja ndoa ya wawili hawa…
Wiki chache baada ya WhatsApp kutambulisha mfumo mpya ambapo iwapo unamtumia message mtu inakuonyesha alama ya tick mbili za kijani na pia inaonyesha muda ambao mtu uliyemtumia message hiyo ameisoma, tayari kuna ndoa ambayo imeingia matatizoni kutokana na hilo.
Mwanaume mmoja Saudi Arabia ametoa
talaka kwa mkewe kutokana na kitendo cha mwanamke huyo kutokujibu
message aliyomtumia WhatsApp.
Mwanaume huyo amesema kitendo
kilichomkasirisha zaidi ni pale aliporudi nyumbani na kumkuta mke wake
akiwa busy anachat na marafiki zake kupitia mtandao huo wakati message
aliyomtumia yeye hakuijibu.
Jamaa huyo ameona kama kitendo hicho ni
dharau kubwa na hakuwa tayari kuendelea na ndoa hiyo ambayo imedumu kwa
miaka miwili tangu ifungwe.
Subscribe to:
Posts (Atom)
0 comments: