SOMA HAPA Chanzo cha Usagaji kwa Wanawake Bongo ?

Heshima kwenu mabibi na mabwana.

Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusiana na suala la usagaji kwa wasichana bila kupata jibu stahiki.

Baadhi ya wasichana wanadai kwamba kuachwa na wapenzi wao mara kwa mara kunachangia kwa kiasi kikubwa wao kujiingiza katika mapenzi ya jinsia moja,

wengine wanadai kwamba shule za boarding zinawasababishia kujiingiza katika mambo haya kwani muda mwingi wanakua wao wenyewe tu bila kujichanganya na wavulana.

Nini maoni yako wewe mwanajamvi,karibuni wakinadada muweze kutupa ukweli wa hili jambo,wavulana pia mnaruhusiwa kuchangia chochote ili tupate mawazo tofauti tofauti.

Asanteni

0 comments:

Linah na Recho Wanaswa Wakifanya Mambo ya Aibu Mbele ya Watu


Masistaduu wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ na rafiki yake, Winfrida Josephate ‘Recho’, wamefanya mambo ya aibu mbele ya kadamnasi.

 
Tukio hilo la aibu lilijiri hivi karibuni usiku kwenye bwawa la kuogelea (swimming pool) ndani ya Hoteli ya Regency-Mikocheni jijini Dar ambapo kulikuwa na ‘bethidei’ ya Recho.
 
Awali, mastaa hao walianza kwa kulishana keki kwa staili ya njiwa (kwa mdomo), jambo lililoibua minong’ono mahali hapo.

Kama haitoshi, baada ya tukio hilo, wawili hao waliweka mapozi tata wakipiga picha zilizowaonesha nusu utupu huku vinguo walivyovaa vikiacha wazi sehemu kubwa ya maumbile yao nyeti.

0 comments:

Wauza madini watatu wauawa kinyama


ENEO la Mjohororoni wilayani Hai, mkoa wa Kilimanjaro jirani na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kando ya barabara ya Moshi/Arusha, linazidi kuwa na rekodi mbaya ya matukio ya mauaji.

Hapa ndipo aliuawa mfanyabiashara bilionea wa madini aina ya Tanzanite Erasto Msuya (43) kwa kupigwa risasi zaidi ya 10 kifuani mwaka juzi- na sasa miili mitatu ya watu wanaodhaniwa kuwa wachimbaji wa madini hayo mkoani Arusha, imeokotwa ikiwa na michubuko midogo na wengine damu ikitoka Puani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, amethibitisha tukio lakini akaahidi kutoa taarifa kamili baadaye.
Paparazi limeelezwa kuwa tukio hilo limetokea leo asubuhi  majira ya 2:000 katika eneo hilo maarufu kama kwa Wasomali.
Vijana hao wanaodaiwa kuwa na umri kati ya miaka 28 na 32 walikutwa katika eneo hilo na msamaria mwema ambaye baadaye alitoa  taarifa kituo cha Polisi Bomang’ombe.
Mtoa taarifa wetu, amesema kuwa miili hiyo baada ya kuondolewa eneo hilo na polisi, ilipelekwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa ya Mawenzi kwa ajili ya kuhifadhiwa lakini ilishindikana kutokana na chumba cha kuhifadhia maiti kujaa.

0 comments:

Na hili ndio jibu la Fid Q kwa mashabiki waliohisi kapaka lip bum kwenye video yake mpya

Fid q 3
Kwanza ni video iliyovunja rekodi kwenye line ya Fid Q kwa kupata views zaidi ya elfu 20 ndani ya saa 24 huku zaidi ya watu 500 wakilike na 20 wakidislike kwenye mtandao wa YouTube.
Kwenye headlines za hii video mpya pia kumekua na maswali ya mashabiki kwa Fid Q ambapo baadhi yao walitaka kujua kama ni kweli Fid kapaka lip bum mdomoni wakati wa kushoot video hiyo.
Jibu la Fid lilikua hili >>> ‘Sijapaka lip bum wala stick.. zile ni lips zangu baada ya kupigwa na effects kwenye editing.. cheki kwenye screen kubwa
Fid Q 1

0 comments: