Penzi la Wema na Ommy Dimpoz lipo Wazi, wapiga picha wakiwa bafuni usiku.
Ukiona
manyoa?!!! Hatimaye zile tetesi na hisia za kwamba mwaigizaji Wema
Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz kuwa kwenye mahusiano ya
kimapenzi zime kuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 99, hii kutona na picha
waliopiga jana usiku wakiwa bafuni huku wema akiwa amevalia taulo “flan
amazing” huku kijana Ommy akionekana kwa mbaliii kama ananawa mikono.
Picha
hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale Team Wema
kindakindaki..kwani comments na likes zilivyo tiririka utazana picha
imewekwa saa sita mchana, kumbe ni usiku wamamane.
Haya jamani sisi tunawatakia kila la kheri, kwani wengi wamesema hii ni couple flan amazing....
0 comments: