Picha, Kim Kardashian mtupu kwenye photoshoot nyingine na ushirikiano aliopewana Kanye West.
0
comments:
Picha,Sheta anajitayarisha kutoa kitu kingine kikubwa Afrika.
Sheta anajitayarisha kutoa video mpya hivi karibuni, kufuatia single
yake ya Kerewa ft Diamond Platnumz iliyofanya vizuri Afrika kwa kuwa na
video bora, Sheta ameonekana kuwa karibu na msanii Kcee huku pakiwa na
uvumi kuwa anafanya naye kazi mpya inayotoka muda wowote sasa.
Hizi ni baadhi ya picha kuhusu hii kazi mpya.
0 comments: