THAMAHANI KWA PICHA IZI ZA AJALI YA IRINGA LEO: BASI LAUA ZAIDI YA ABIRIA 40 BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA
sehemu kunaitwa Changarawe ambapo gari
aina lori lilokuwa likitokea Dar kwenda Mbeya
ambapo lilikuwa likikwepa shimo kubwa lililopo
katikati ya barabara na kugongana na gari la
abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitoka
Mbeya kwenda Dar. Hii ni maelezo ya trafki
aliyepo hapa.
Kontena la lori limelalia kabisa basi, na watu
wengine wamelaliwa na wengine
wameporomokea korongoni, mpaka sasa
hakuna majeruhi ni maiti tu, wala hakuna mtu
ambaye inadhaniwa amepona.
0 comments: