Izi Hapa Picha, Good tyme ya V Money na Jux baada ya show yao Zanzibar.
Bongo fleva ilitawala Zanzibar ‘Ngome Kongwe’ 17 Jan kwenye
usiku wa show kali Jux, Vanessa Mdee, Navy Kenzo ‘Nahreel na Aika’
ambayo ilifunguliwa na Baby J na Mirrro.
Baada ya show Aika, Jux, V Money na Shadee wa clouds fm walikula good tyme kabla ya kuondoka Zanzibar.
0 comments: