Wiz Khalifa kaungana na Davido na Huddah kwenye list ya Xmas hii.
Wiz Khalifa amejinunulia huu mkoko kwenye kipindi hiki cha sikukuu ambacho mastaa wengine wa Afrika pia wamejinunulia magari yao akiwemo Davido wa Nigeria na Huddah wa Kenya.
Huddah.
Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)
Your email address is safe with us!
0 comments: