Kuhusu Ajali aliyopata Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi.
Leo January 10 kupitia mitandao na blogs tofauti zimeenea taarifa na picha za ajali ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi.
Taarifa nilizopokea mpaka sasa kuhusu ajali hii ni kwamba mhe
Mbilinyi amepata ajali akielekea Dar es salaam kwenye kona kali iliyopo
eneo la Kitonga, Iringa akiwa na watu wanne kwenye gari moja.
vyombo vya habari vimesema hakuna mtu aliyepoteza maisha waka kupata majeraha yeyote makubwa. Kamanda wa Polisi wa Iringa, Ramadhani Mungi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo.
vyombo vya habari vimesema hakuna mtu aliyepoteza maisha waka kupata majeraha yeyote makubwa. Kamanda wa Polisi wa Iringa, Ramadhani Mungi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo.
0 comments: