Mwanamitindo aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa Amber Rose ’31’
amerudia tena mtindo wake wa ku BreakTheInternet kwa kuweka picha zake
akiwa kwenye pozi tofauti.
Mara ya kwanza Amber kufanya hivi ilikuwa August 2014 wakati album ya
mume wake Wiz Khalifa ‘Blacc Hollywood’ ilivyoshika namba moja kwenye
chati za Billboard hot 200.
0 comments: