Watoto Hawaruhusiwi AMBER ROSE ATUPIA PICHA ZAKE ZA UTUPU KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM

MREMBO kutoka nchini Marekani, Amber Rose ameamua kutupia picha zake zinazoonyesha maungo yake akiwa katika vazi la bikini nyeusi.
Amber mwenye miaka 31, mama wa mtoto mmoja, ametupia picha hizo jana katika ukurasa wake wa Instagram na mpaka sasa zimesambaa kila kona kwenye mitandao ya jamii. 
Pichani ni pozi tofauti za staa huyo alizoachia jana Instagram.

0 comments: