DAH INASIKITISHA SANA : MWANAFUNZI WA DARASA LA TATU ABAKWA NA WATU MPAKA KUFARIKI DUNIA KISHA KUMUWEKA KWENYE SINKI LA KUOGEA-MBEYA
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema baada ya watu hao
kufanya unyama huo, waliuweka mwili wa mtoto huyo katika sinki la kuogea
kwenye nyumba moja ambayo haijakamilika ujenzi wake. Pamoja na hayo,
alisema upelelezi bado unaendelea ili kuwabaini waliohusika na tukio
hilo.
Akizungumza
eneo la tukio, kiongozi wa Mtaa wa Ilomba, Ezekiel Mwakalandwa, alisema
taarifa za mauaji hayo alizipata jana asubuhi kupitia kwa majirani
zake.
Akizungumza
eneo la tukio na paparazi huru, kiongozi wa Mtaa wa Ilomba, Ezekiel
Mwakalandwa, alisema taarifa za mauaji hayo alizipata jana asubuhi
kupitia kwa majirani zake.
"Nilipota
taarifa hiyo, niliongozana na majirani tukiwa na ndugu wa marehemu na
kushuhudia mwili wa mtoto huyo ukiwa umelazwa kwenye sinki la kuogea
huku sehemu zake za siri zikiwa zimeharibiwa vibaya"
0 comments: