MBUNGE MAARUFU WA BUNGE LETU LA JAMHURI YA MUUNGANO AKANUSHA KUWA NA UKIMWI ONA NI NANI LIVE!!



SINA UKIMWI, HATA SPIKA ANAJUA :MREMA
Mbunge wa Vunjo Mhe.Augustino Lyatonga Mrema amedai kuwa hana maambukizi ya virusi vya UKIMWI hata Spika wa bunge Anne Makinda anajua.

Mrema aliyasema hayo bungeni juzi akidai kuwa anakanusha uvumi uliosambazwa na Mbunge wa Taifa Mhe.James James Francis Mbatia jimboni kwake Vunjo kuwa ameathirika na VVU.

"Mimi sina UKIMWI hata Spika anajua. Kwa hiyo mwambieni Mbatia aache kunipakazia. Mimi nipo fit na mwakani nagombea".. Alinukuliwa Mrema bungeni.

Swali ambalo watu wengi wanajiuliza ni kivipi Mrema aseme Makinda anaweza kudhibitisha kuwa hana IKIMWI, wakati suala la afya ni issue binafsi.?

0 comments: