Nuhu mziwanda aomba radhi kwa picha ya Ngono
Thursday, February 26, 2015
Mwanamuziki Nuhu Mziwanda ambae ni mchumba wa mwanamuziki Shilole (Shishi baby) ameomba radhi jana kupitia ukurasa wake wa Intragram baada ya kupost picha ambayo inaonyesha maungo ya ndani ya mpenzi wake huyo walipokuwa wakioga,picha hiyo ilimuonyesha Shilole akiwa kifua wazi.Kwa mujibu wa Nuhu Mziwanda amesema kuwa alipost picha hiyo ili apate Kiki kwa ajiri ya video yake mpya ya Zimataa ambayo bado haijatoka mpaka.Shilole na Nuhu Mziwanda katika pozi.
Baada
ya juzi usiku Nuhu mziwanda kupost picha hiyo kwenye ukurasa wake
mashabiki zake walionyesha kutofurahishwa na kitendo hicho na wengihne
kufikia hatua ya kutukana huku wengine wakidai kuwa amemdharirisha
mpenzi wake huyo ambae ni mama wa watoto wawili.lakini baada ya hapo
Nuhu aliifuta picha hiyo alipogundua hali ya upepo imekuwa tofauti na
vile ambavyo yeye alidhania.
Anapenda
mwenyewe kuzalilishwa huyo @shilolekiuno kwani ni picha yake ya
kwanza???? ... nawapenda lakini wameniuziii toka wapost ule ujinga,na
kujisahaulisha kama wee ni mama wa mabinti wakubwa tu sijui wanajifunza
nini wakiona hizo picha..."Kapost mpenz wake yuko maziwa wazi yale sio
mapenzi unaitwa uzalilishaji Wa wanawake Hao ni baadhi ya mashabiki
waliotoa yao ya moyoni baada ya kuiona ile picha ya Nuhu wakiwa pamoja
na Shilole.
"Naomba
niombe radhi kwa waliochukizwa na picha niliopost usiku wa jana.Lakini
naweza sema pia ile ilikuwa ni video yangu mpya ya wimbo wangu wa
Zimataa.So ilikuwa ni promotion picture.Ila mwisho wa maneno yangu ni
kuomba radhi kwa lililotokea."
Hata
baada ya kuomba radhi hali ya mashabiki bado ilikuwa ileile ni watu
walionyesha kukerwa na kitendo kile bado waliendelea kutukana na
kusababisha hata post ya kuomba radhi pia kuifuta katika Accouny yake
hiyo ya Instragram.
0 comments: