Shilole na Mchumba Wake Nuh Mziwanda Wachafua Hali ya Hewa Mtandaoni baada ya Kutupia Picha za Uchi
Mwigizaji
na mwanamziki, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambae ni mama wa watoto
wawili wa kike , akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada
ya kutupia picha yaowakiwa uchi.
Nuh
Mziwanda ndio alioibandika picha hiyo kwenye ukursa wake kwenye mtandao
wa instagram na baada ya kuona watu wengi wanamshabulia aliamua
kuibandua.
Wapo
walioona kuwa kitendo alichokifanya Mziwanda labda ni kutokana na umri
wake hivyo hayo ni baadhi ya matokeo ya kuwa na mahusiano na mtu
mtoto.
Lakini pia wapo walioona kuwa wawili hawa wanatafuta KIKI tu ili media za hapa Bongo ziwazungumzie kama Zari na Diamond, ila pia wapo amabo wanaona hii iko poa na haina tatizo.
0 comments: