Watu wenye ulemavu wa ngozi kuandamana hadi Ikulu
Aidha,
katika hali isiyo ya kawaida majira ya saa nne na robo leo asubuhi mtu
mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Mwalimu Mussa aliamua kutembea bila
nguo katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la daraja la salenda
mpaka barabara ya Kenyata jijini
Dar es Salaam huku watu wakimtazama na kupita bila kujali.
Dar es Salaam huku watu wakimtazama na kupita bila kujali.
Hali
hiyo iliwalazimu badhi ya watu kuchukua hatua za kumvisha nguo kijana
huyo huku wakielezea kuwa ni kukosekana kwa utu kwa watu kumpita hasa
watu waliopewa dhamana ya ulinzi wa binadamu bila kuchukua hatua yeyote,
huku kijana huyo akieleza mkasa uliomfanya ateembee uchi wa mnyama.
0 comments: