Na hili ndio jibu la Fid Q kwa mashabiki waliohisi kapaka lip bum kwenye video yake mpya

Fid q 3
Kwanza ni video iliyovunja rekodi kwenye line ya Fid Q kwa kupata views zaidi ya elfu 20 ndani ya saa 24 huku zaidi ya watu 500 wakilike na 20 wakidislike kwenye mtandao wa YouTube.
Kwenye headlines za hii video mpya pia kumekua na maswali ya mashabiki kwa Fid Q ambapo baadhi yao walitaka kujua kama ni kweli Fid kapaka lip bum mdomoni wakati wa kushoot video hiyo.
Jibu la Fid lilikua hili >>> ‘Sijapaka lip bum wala stick.. zile ni lips zangu baada ya kupigwa na effects kwenye editing.. cheki kwenye screen kubwa
Fid Q 1

0 comments: