HALI YAZIDI KUWA MBAYA AFRIKA KUSINI,WAGENI NAO WASHIKA PANGA!!

Mama raia wa kigeni alirushiwa mawe na wenyezi wa Afrika Kusini katika ghasia za kupinga wahamiaji zinazoendelea nchini humo

Polisi wakifanya doria kudhibiti fujo za kupiga wahamiaji


Raia wa kigeni wakiamua kujihami kwa kuchukua silaha kupambana na wenyeji

Wenyeji wa Afrika Kusini wakiimba huku wakiwa na silaha za jadi kuwataka wageni waondoke nchini humo

Polisi wakizidi kupambana na wenyeji hao

Mwendo wa doria na kupambana na ghasia hizo

Wenyeji wakiwa wamewekwa chini ya ulinzi mjini Johannesburg

Afrika Kusini inaonekana kuchafuka

Raia wa kigeni wakitoa bidhaa katika maduka yao kufuatia kushambuliwa na wenyeji

Maandamano ya kupinga ghasia dhidi ya wageni yalifanyika mjini Durban

Maandamano ya kupinga kushambulia wahamiaji yakiendelea nchini Afrika Kusini

Raia wa kigeni akiwa ameshika silaha tayari kupambana na wenyeji wasiowataka nchini humo

Wenyeji wakizuiwa na askari wasifanye fujo hizo

Wageni wakizidi kuhamisha mali zao kufuatia ghasia hizo zilizoibuka wiki iliyopita

Baaadhi ya raia ya kigeni wakiwa wamehifadhiwa katika kambi baada ya kukimbia fujo na kuepusha maisha yao
Hivi Afrika Kusini imesahau mchango na jitihada za Waafrika wenzao katika mapambano ya kudai uhuru wa taifa hilo?
Ama kweli shukrani ya punda mateke…
0 comments: