Polisi Mwanza watumia risasi za moto kulinda mkutano wa Machinga


Maelfu ya wafanyabiashara ndogondogo mjini Mwanza, wamefanya uchaguzi wa viongozi wa umoja wa machinga jijini Mwanza huku ulinzi mkali wa askari Polisi wenye silaha za moto na mabomu ya machozi ukiwa umeimarishwa kwenye uwanja wa CCM kirumba ili kudhibiti vitendo vya uvunjifu wa amani.
Mkutano huo wa uchaguzi ambao ulifunguliwa na katibu tawala wa wilaya ya nyamagana Marcella Mayala, ulitawaliwa na zomeazomea, shangwe na vigelegele wakati wagombea wa nafasi mbalimbali walipokuwa wakijinadi, huku baadhi ya machinga wakihoji zilipo fedha zao zaidi ya shilingi milioni 10 zilizotolewa na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Dk. Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuwasaidia machinga kukopeshana ili kuinua biashara zao.
 
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti waliokuwa wakishangiliwa wakati wakijieleza kuomba kura ni pamoja na Said Tembo, Richard Mushi na Kabaila Liberatus. 
 
Kila mgombea aliwahakikishia machinga kupata maeneo mazuri ya kufanyia biashara pamoja na kumaliza kilio cha muda mrefu cha kukamatiwa mali zao na askari mgambo wa jiji.
 
Uchaguzi wa umoja wa machinga jijini mwanza unafanyika kufuatia machinga kukosa viongozi kwa muda mrefu na hadi paparazi wetu anaondoka katika uwanja huo wa CCM kirumba, zoezi la upigaji kura lilikuwa limekamilika katika nafasi zote zinazowaniwa.
 
Na habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Said Tembo amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa umoja wa machinga jijini mwanza.

0 comments:

Ni kutoka kwa Zitto Kabwe kuhusu ishu ya kurudi CHADEMA… SOMA HAPA KWA HABARI KAMILI



Zitto-Kabwe 

Zitto Kabwe ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, mwanzoni mwa 2014 kulikuwa na story ya mgogoro kati yake na Chama cha CHADEMA.
Magazeti yaliyotoka siku chache zilizopita yaliripoti taarifa ya Mbunge Zitto Kabwe kurudi tena CHADEMA, Zitto Kabwe, kazungumzia Ishu hiyo.
Kuhusu kurudi CHADEMA; “Hapana nadhani hizo ni tetesi kwa sababu sijatoa kauli yoyote kuhusiana na hilo na moja mimi bado mwanachama wa Chadema kwa sababu nina kesi mahakamani na kesi hiyo haijaamuliwa,bado inaendeleaZitto Kabwe.
Sijawahi kutoka kwenye uanachama wa CHADEMA, mtu anaposema nataka kurudi Chadema hayuko sahihi, inafahamika nilikuwa na matatizo na chama hatujaweza kuyatatua, hakuna mazungumzo yoyote ambayo yamefanyika lakini kuna baadhi ya watu wameanza kuleta hayo mazungumzo“– Zitto Kabwe.

0 comments:

Kuwa Staa Raha Sana: Diamond Katumiwa Video ya Nusu Uchi na Mrembo wa Kenya akimtaka Amchukukue yeye bila Malipo Tuesday, January 20, 2015


Unaukumbuka  Wimbo  wa  Diamond Platnumz  alioimba "Ntampata wapi ??""...Unaambiwa  mabinti  kibao  wameanza  kujigonga  kwake  kutokana  na  wimbo  huo.

Mrembo na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23  toka  nchini Kenya amemtaka Diamond aende  nchini  Kenya kumchukua  tena  bila  malipo  yoyote....
Tiara amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka  Diamond Platnumz. Kama ni Sura ya mtaratibu , Macho ya Aibu na umbo Mahabibu anavyoooo...!!!!!
  
Angalia Video hapo chini ujionee Mambo Matamu aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..Zari Upo ?  Ongeza  Utundu  mama.
 
CLICK HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO


0 comments:

Kama Seif hataki Serikali mbili Ajiuzulu - Nape SOMA HAPA


Katibu wa NEC itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM,Ndugu Nape Nnauye.
Watanzania wametahadharishwa kutowasikiliza wanasiasa wenye nia ya kuvunja muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwani katika kipindi cha miaka 51 ya Muungano huo, kumekuwa na mafanikio kwa pande zote mbili

kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Magharibi Unguja, bwana Yusufu Mohamedi Yusufu, wakati akiwakaribisha kuhutubia mkutano wa hadhara, viongozi wa juu wa chama hicho, wanaoendelea na ziara katika visiwa vya unguja na pemba, ambapo amewatahadharisha watanzania kutokubali hadaa za wanasiasa wenye nia ya kuvunja muungano kwa maslahi yao binafsi,.
Akizungumza katika mkutano huo Katibu wa CCM itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amemtaka Makamu wa kwanza wa Rais ambaye pia ni katibu Mkuu wa CUF taifa Maalim Seif Sharif Hamad ajiuzulu nafasi hiyo kama hataki Muungano wa Serikali mbili.
Nape amepinga kauli ya katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF aliyodai haina mashiko kufuatia chama cha CUF kudai kuchukua majimbo 18 ya uwakilishi na ubunge katika uchaguzi ujao na kudai kuwa wamejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi huo, kauli inayoungwa mkono na katibu mkuu wa chama hicho komredi Abdulrahman Kinana.
Wakihutubia wananchi waliofurika katika uwanja wa Tomondo baadhi ya viongozi wa chama hicho walioambatana na katibu mkuu upande wa Zanzibar wakiwemo wabunge wa bunge la jamuhuri ya mungano wa Tanzania na wawakilishi wa baraza la wawakilishi la serikali ya mapinduzi Zanzibar wamesihi wazanzibar kuipigia kura ya ndiyo katiba iliyopendekezwa muda utakapo wadia.

0 comments:

MHESHIIMIWA ZITTO KABWE AMWAGA MACHOZI UKUMBINI....usalama wake matatani


 Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia leseni ya Chadema, Zitto Zuber Kabwe akiwa na Christian Bela.
Hakika wikiendi iliyopita ilikuwa ni shangwe tupu, lakini kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia leseni ya Chadema, Zitto Zuber Kabwe ilikuwa ya machungu pale alipojikuta akimwaga chozi ukumbini.

 Mpango mzima ulioshuhudiwa na paparazi wetu ulijiri kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar ambapo Bendi ya Malaika, chini ya Christian Bella ilikuwa ikishusha burudani ya kufa mtu.

Wakati Mbunge wa Jimbo la Sikonge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Said Nkumba alitesa kwenye jukwaa la Msondo Ngoma pale TTC Chang’ombe, Temeke, Zitto alifunika vibaya Mango Garden, Kinondoni, kwani alikuwa zaidi ya shabiki, pedeshee na mwimbaji. 

Katika muda ambao watoto wa mjini husema ni usiku mnene, Zitto ambaye yupo katika mgogoro na chama chake, alipanda jukwaani wakati prezidaa wa Malaika Band, Christian Bella ‘Obama’ akiimba wimbo wake mpya wa ‘Nani Kama Mama’ ambapo mheshimiwa huyo alichotwa na hisia za kibao hicho hadi kujikuta akimwaga machozi kwa kumbukumbu ya msiba wa mama yake mzazi uliotokea mwaka jana (Shida Salum, alifariki Juni 1, 2014 jijini Dar es Salaam).

Mh. Zitto Kabwe akiteta jambo na wanamuziki wa Bendi ya Malaika.
 “Lilikuwa ni tukio la kushangaza kwa mheshimiwa, maana alipanda stejini kisha akajiunga na waimbaji, akachukua gitaa na kuanza kucharaza kana kwamba alifanya nao mazoezi,” alisema shabiki mmoja ukumbini hapo.

Hata hivyo, baadaye mwanasiasa huyo kijana kipenzi cha wengi, aliimarika na kuendelea kuuimba wimbo huo huku akiserebuka kwa kwenda mbele.

Baada ya kuona hivyo, mashabiki walimiminika jukwaani kupiga naye picha kwa muda wa takriban dakika 20, ambapo mbunge huyo alithibitisha kuwa ni mtu wa watu kwani shughuli zote zilisimama kwa muda ukumbini humo. 

Katika hali hiyo, mapedeshee, ambao hung’ara katika kumbi kwa kutunza waimbaji na wanenguaji, walizimwa ngebe zao kwani Zitto alifunika kwa kutoa ‘mshiko’ wa kufa mtu.

Ilifahamika kwamba, Bella peke yake alipokea zaidi ya noti 50 za elfu kumi-kumi za Kitanzania kutoka kwa Zitto huku nyingine zikiwa ni dola za Kimarekani.

Wakipiga picha ya pamoja.
 Hata hivyo, katika hali nyingine, baadhi ya watu walihoji usalama wa Zitto kuwa ni sawa na sifuri katika kipindi hiki ambacho bado sakata la kashfa ya uchotwaji wa mabilioni kwenye Akaunti ya Escrow ya Tegeta linaendelea kushika kasi na vigogo kufikishwa mahakamani. 

Watu hao walisema kwa namna Zitto alivyoingia ukumbini hapo na kujichanganya na mashabiki, ni rahisi kwa mtu mwenye nia mbaya kuweza kumdhuru, hasa watu wa Escrow ambao wana mapesa yanayoweza kuwashawishi kumfanya lolote. 

“Watu wanatetemeshwa na hili skendo, leo wakimuona Zitto hapa kajiachia namna hii, watakumbuka jinsi alivyosimama kidete bungeni kutaka waliohusika wawajibishwe na fedha zirudishwe, unadhani nani hajui utamu wa fedha,” alisikika shabiki mmoja akisema.
 Zitto alitafutwa kupitia simu yake ya mkononi ili kupata maoni yake juu ya usalama wake, lakini iliita bila kupokelewa.

0 comments:

Mh. John Mnyika awasilisha udhaifu wa mchakato wa mabadiliko ya katiba kwa katibu wa bunge


Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh John Mnyika amewasilisha kwa katibu wa bunge taarifa ya hoja binafsi kuhusu kile alichodai kuwa ni udhaifu wa mchakato wa mabadiliko ya katiba ili bunge lijadili udhaifu wa ukiukwaji wa sheria katika mchakato huo ili lipitishe azimio la kuahirisha mchakato huo mpaka madhaifu ya msingi yatakaposhughulikiwa.
Akizungumzana na mtandao huu katika ofisi za bunge Mh Mnyika pia amemtaka rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuheshimu makubaliano ya viongozi wa vyama vya siasa kwa kuwa kuendelea na mchakato huo si tu kukiuka makubaliano ya TCD bali pia ni kukiuka sheria zilizouanzisha mchakato huo.

0 comments:

ESCROW: KIGOGO AMBAYE NI MENEJA Misamaha ya Kodi TRA MUTABINGWA APATA DHAMANA



MENEJA Misamaha ya Kodi TRA, Kyabukoba Leonard Mutabingwa anayekabiliwa na kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya zaidi ya Sh 1.6 bilioni kutoka akaunti ya Tegeta Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameachiwa huru baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.

Hakimu Mkazi, Frank Moshi jana alimuachia huru Mutabingwa baada ya kukamilisha masharti ya dhamana ya kuwasilisha fedha taslimu Sh 1bilioni ama hati ya mali isiyohamishika yenye thamani ya kiasi hicho cha fedha.

Mutabingwa aliachiwa huru kwa dhamana baada ya kuwasilisha hati tano za nyumba za watu mbalimbali zenye thamani ya Sh 1.332 bilioni, wadhamini watatu ambao kati yao wawili walikuwa wafanyakazi wa TRA na mmoja mjasiliamari.

Kila mdhamini kati ya wadhamini hao, kila mmoja alisaini hati ya dhamana ya maneno yenye thamani ya Sh340 milioni na mshtakiwa huyo aruhusiwi kutoka nje ya jiji la Dar es Salaam bila ya kuwa na kibali cha mahakama.

Baada ya kukamilisha masharti hayo ya dhamana, Hakimu Moshi alimuachia huru mshtakiwa huyo na akaiahirisha kesi hadi Januari 29,2015 ambapo mshtakiwa huyo atasomewa maelezo ya awali (PH).

Awali akisomewa hati ya mashtaka inayomkabili mshtakiwa huyo alidaiwa kuwa alitenda makosa ya kuomba na kupokea rushwa kinyume na kifungu cha 15 (1)(a) cha sheria ya kupambana na rushwa namba 11 ya mwaka 2007.

Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai akimsomea mashtaka hayo yanayomkabili mbele ya Hakimu Mkazi, Janeth Kaluyenda kuwa Januari 27, 2014 katika Benki ya Mkombozi wilaya ya Ilala , alipokea Sh1.6 bilioni kupitia akaunti namba 00110202613801.

Swai alidai kuwa mshtakiwa huyo akiwa katika Benki ya Mkombozi alijipatia kiasi hicho cha fedha ambacho ni sehemu ya fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow na kwamba alizipokea kutoka kwa James Burchard Rugemalira ambaye ni Mshauri huru wa Kitaalam, Mkurugenzi wa VIP Engineering na Mkurugenzi wa zamani wa IPTL kama tuzo kwa kuiwakilisha kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits ambayo ni mali ya Rugemalira mahakamani kitu ambacho ni kinyume cha sheria

0 comments:

HIVI WAKINA DADA SIKU HIZI UNA NINI HEBU WACHEKI HAWA WANAVYOFANYANA ETI WANA PATI







0 comments:

ZARI HAWEZI KUZAA NA DIAMOND, MUME AANIKA SIRI NZITO!





Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akichekelea kitendo cha mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kunasa mimba yake, habari ya mjini huko Kampala, Uganda ni juu ya aliyekuwa mume wa mwanamama huyo,
Ivan Ssemwanga kufunguka na kusema: “Naapa Zari hawezi kuzaa na Diamond.”HABARI YA MJINI
Wikiendi iliyopita, vyombo vya habari na mitandao nchini Uganda ambako kuna makazi mengine ya Zari mbali na Afrika Kusini, kulipambwa na habari hizo baada ya mwanaume huyo aliyezaa na mwanamama huyo watoto watatu kuanika siri nzito juu ya ishu hiyo.
‘Ubuyu’ huo ulidadavua kwamba, kwanza jamaa huyo mwenye utajiri wa kutupwa alianza kwa kuelezea namna alivyoshtuka aliposikia Zari ni mjamzito.
Alisema kwamba alishangaa kusikia Zari ni mjamzito wakati ana umri wa karibia miaka 40 na watoto watatu ambao amekuwa akiwapuuza na kuendelea kuzurura na mpenzi wake mpya, Diamond sehemu mbalimbali ndani na nje ya Bara la Afrika.

0 comments:

Diva ajifananisha na rihana huko instagram!!! ingia hapa kutazama picha zake

 
switchin off the tv then white sands i see ya ina min... .... jaman kwan mie Nina Tofauti gani na Rihanna? yeye akivaa nguo kiuno wazi sawa mie kelele... ndio natembea kiuno wazi sasa #die and nah nat edited hunie... i got this! pima na app zenu . niko Bouraaah and sijikondeshi sasa.. ntabaki hivi hivi. gym nendeni nyie mnaotaka U model..

0 comments:

INASIKITISHA BINTI HUYU KUFANYA BIASHARA YA JUJIUZA KWA KUTUMIA WHATSAP

 

 

Its shocking to know that a y0ung lady can trade her body,which is all that she got as a  symbol of dignity to anyone who would be interested at a maximum of Kshs 150/= . Her name is Angeline Angels, the description of her products include selling her nak3d photos at Kshs 50/=  and her s3x tapes at Kshs 150/=. Sometimes, we may think and ask ourselves, what was this young lady thinking

The truth is that most of this situations or cases that we term as moral decay are a result of the thirst for money…This can be a long discussion for us but let me leave you with one proverb that says,” Money is good, but it can also be the route of all evil” lets take care of what we do to get the money we want and also choose wisely on what we do with the money we get…
Back to my story; This is what the young lady posted online…read on>>
Get My randy photos now for only 50/= nazipiga live as you request any style any posture you will request for. Get my randy videos for only 100 bob you will request how you will want it to be, i can even say your name in the video if you will wish!!
I also have kenyan homemade s*xt@p£$ that go for only 150 shillings..you will hear me moan in swahili in the sex tape.. if intrested text/ WhatsApp me on
0701108347 ALL ARE WELCOME..

0 comments:

Soma habari inayomuhusu Wema Sepetu kuhusu mahusiano yake mapya baada ya kuachana na DIAMOND

WEMA222 
Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx.
 
Mwanamitindo Ally Dax.
Mwanamitindo Ally Dax.
Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote,Wema amekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.

0 comments: