FASHENI: HIZI CHUPI (G-STRING) MPYA ZA KIKE NI SHIDAA......[ KWA WANAWAKE TU..]
Kama kawaida tasnia ya FASHENI inabadirika kila siku...Lakini huu ujio wa hizi CHUPI zinazoitwaShibue Strapless Panty ni Nouma......
Hizi wameziita ni chupi za miujiza, kwani zimetengenegwa kwa MATIRIO ambayo huweza kukabiliana na mabadiliko ya MAKAO MAKUU katika hali yoyote ile.....hehehee....
hivyo kumfanya mwanamke awe COMFOTABO (Kama unavyojua tena makao makuu kuna mengi pale).
Tofauti na chupi zingine aina ya G-String chupi hizi huvaliwa kuanzia juu ya Uke na mpaka kwenye mwisho wa uti wamgongo...Jionee picha hapa.. Then niambie kwa kucomment hapa chini unaona vipi..
Uvaaji wake sasa

nishiidaah....
0 comments: