Picha, Jibu Kuhusu Mahaba Ya Zari Na Diamond Ndio Hili,#KissNTell INGIA HAPA KUTAZAMA PICHA IZO ZA MAHABA.......


Ni swali alilolikwepa sana Diamond kuhusu mahusiano yake na Zari The Boss Lady wa Uganda. Hivi karibuni kwenye party ya Zari #ZariAllWhiteParty iliyofanyika Kampala Diamond na Zari wameweka wazi mahusiano.
Picha zinaonyesha Diamond na Zari wakiFrench Kiss mbele za watu kwenye party iliyofanyika club Guvnor.


zari 4

 zari 2 zari 3 zari 4

0 comments: