MZEE MAJUTO NA WASANII WENZAKE WAMTEMBELEA MAMA ALIYEPOKONYWA MTOTO ALBINO NA KISHA KUUWAWA KIKATILI

0 comments



Read More »

KUTEULIWA KWA Makonda NA Zelothe KUWA WAKUU WA WILAYA NI MKAKATI WA CCM kutengeneza mazingira ya kuchakachua kura za maoni

0 comments
nape
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuteua wakuu wa wilaya wapya 27 na wengine 19 kuondolewa, wadau mbalimbali wamejitokeza wakidai huo ni mkakati wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) kutengeneza mazingira ya kuchakachua kura za maoni ili kiweze kushinda kwa urahisi.
Wadau hao pia wamedai katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, chama hicho kimekuwa na utaratibu wa kuteua viongozi hao waweze kutengeneza mikakati ya ushindi katika maeneo yao.
Hata hivyo, akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, aliwashangaa wapinzani kwa kupinga uteuzi huo huku akisisitiza kuwa lingekuwa jambo la ajabu kama wanasiasa hao wangeupongeza.
“Ningeshangaa kama wanasiasa wangesifia uteuzi huo…kwa sababu ndiyo uwezo wao wa kufikiri uliopoishia, ninaomba Watanzania kuwasamehe bure,” alisema Nape kwa kifupi.
Wakizungumzia uteuzi huo mpya, baadhi ya wanasiasa akiwamo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, walisema hawaoni umuhimu wa nafasi hizo wakidai uteuzi huo umelenga kuandaa timu ya uchakachuaji wa kura katika uchaguzi mkuu na kura ya maoni ili kupitisha Katiba Inayopendekezwa.
Walidai uteuzi huo ni maandalizi ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu kwa sababu nafasi hizo hazina umuhimu kwa taifa na kwamba hatua hiyo inaongeza mzigo wa gharama kwa wananchi.
WASOMI
Baadhi ya wasomi kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini waliuita uteuzi huo kuwa ni wa siasa na umelenga kuhakikisha Katiba mpya inapita.
“Uteuzi huo ni wa siasa zaidi kuhakikisha CCM inashinda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani,” alisema Profesa Gaudence Mpangala wa Chuo Kikuu cha Ruaha Iringa.
Profesa Mpangala pia alitoa tahadhari kwa mteule wa Kinondoni ambaye pia aliwahi kuwa mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Paul Makonda, akisema kiongozi huyo ameteuliwa kimkakati ili kuhakikisha anasimamia upitishwaji wa Katiba mpya katika eneo lake.
“Uteuzi wa Paul Makonda umekuja kimkakati, lengo ni kuhakikisha Katiba Inayopendekezwa inapita kwenye kura za maoni si vinginevyo.
“Ndiyo maana Rais Kikwete amefanya mabadiliko hayo kwa sababu anajua kuwa kinachofuata ni uchaguzi mkuu, lazima aangalie watu watakaoweza kutetea maslahi ya chama chake,” alisema.
Alisema kutokana na hali hiyo, idadi kubwa ya waliochaguliwa wanafanya kazi kwa kufuata matakwa ya viongozi wao jambo ambalo linaweza kuwasaidia kupata ushindi.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Hajji Semboja, alisema nafasi ya ukuu wa wilaya ni ya siasa zaidi kwa vile haiangalii sifa ya mtu anayeteuliwa kushika nafasi hiyo.
“Hizi nafasi za U-DC na RC ni za wanasiasa zaidi ndiyo maana wanachaguliwa bila kuangalia sifa ya mtu… hali ambayo imesababisha kuwapo malalamiko mengi kutoka kwa wananchi.
“Yaani kila nilipopita nasikia Makonda, Makonda…, nikajiuliza ni mtu wa aina gani? Kumbe wanamtuhumu kwenye tukio la Jaji Joseph Warioba, nikajiuliza kwanini aliteuliwa…ila nikapata jibu kwa sababu nafasi zenyewe zimetoka kisiasa zaidi,” alisema Profesa Semboja.
Alisema ili kupata viongozi bora, Serikali inapaswa kuwapa elimu ya uongozi ili wakichaguliwa waweze kujua wajibu kwa wananchi na jinsi ya kujiheshimu.
WANAHARAKATI
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba, alisema hakuna kificho, pangua pangua na uteuzi huo wa ma-DC wapya una sababu maalumu.
Alisema ni wazi wakuu hao wa wilaya wamechaguliwa kwa ajili ya kwenda kushughulikia uchaguzi mkuu ujao utakaofanyia Oktoba, mwaka huu.
Sioni sababu hasa iliyomfanya rais apangue wakuu wa wilaya katika kipindi hiki ambacho tumebakiza miezi minane tufanye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani,” alisema Dk. Bisimba.
Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la SIKIKA, Irene Kiria, alisema hatua hiyo ni gharama ambayo inahitaji fedha wakati katika huduma nyingine za jamii Serikali imekuwa ikisema haina fedha.
“Gharama zinakuja kwa kuwa ma-DC hao watahitaji kuhamishwa kwa wale waliohamishiwa vituo vipya na wale wapya pia wana mahitaji yao zaidi.
“Kupangua wakuu hao ni kupoteza fedha za umma bure wakati kuna sekta zinazohitaji fedha kwa ajili ya mahitaji muhimu.
“Hili suala la wakuu wa wilaya tumeshalizungumza mara nyingi, hata kwenye rasimu ya pili ya Katiba iliyosimamiwa na Jaji Joseph Warioba ilitaka watu hao wasiwepo, lakini tunandelea kuona fedha zinatumika kwa ajili yao bila sababu ya msingi,” alisema.
MNYIKA
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), alisema kuhamishwa vituo kwa wakuu wengi wa wilaya miezi michache kabla ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa ni mkakati wa wakuu hao ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenda kupiga kampeni za ndiyo kwa Katiba haramu.
“Wakuu wote ni wajumbe wa kamati za siasa za CCM, hivyo huu ni mkakati kwenda kupiga kampeni za ndiyo kwa Katiba haramu iliyopitishwa kiharamia katika Bunge Maalumu na baadaye kuhujumu upinzani kuelekea uchaguzi mkuu kuliko ufanisi wa utendaji wa Serikali,” alisema Mnyika.
Akizungumzia uteuzi wa aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi katika mikoa kadhaa, Zelothe Steven, alisema utachochea wakuu wengine wa polisi kuhujumu upinzani.

“Uteuzi wa Zelothe utaendelea kuchochea wakuu wengine wa polisi kuhujumu upinzani katika kipindi cha utumishi wao kwa kujipendekeza kwa rais ambaye pia ni amiri jeshi mkuu ili wakistaafu utumishi wao waendelee kupata fadhila kupitia nafasi kama za ukuu wa wilaya,” alisema Mnyika.

Read More »

Precision air yafirisika...sasa kuuza ndege zake

0 comments
Precision_Air_ATR_42-600_(5H-PWH)_at_Toulouse-Blagnac_Airport_(LFBO)
SHIRIKA la Ndege la Precision linatarajia kuuza baadhi ya ndege zake na kubakiza ndege sita kupunguza mzigo wa madeni yanayoikabili Kampuni hiyo kwa sasa.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa shirika hilo, Michael Shirima alisema Dar es Salaam jana kuwa hatua hiyo imefikiwa kutokana na uchakavu wa ndege hizo na hali ya uchumi wa kampuni.


“Kampuni iko katika mazungumzo na mwekezaji ili kukamilisha makubaliano ya kununua ndege zenye madeni na kisha kuzikodisha kwa kampuni nyingine… makubaliano haya yanatarajiwa kufikiwa mwishoni mwa robo ya kwanza ya mwaka huu,” alisema Shirima.


Alisema pamoja na kufikia hatua hiyo kampuni haijakata tamaa kwa kuweka jitihada ya kutafuta mtaji mkubwa kupitia kwa wanahisa wa sasa au wawekezaji wasio wanahisa.


Awali akiitoa taarifa katika mkutano mkuu wa mwaka wa Tatu wa wanahisa, Shirima alisema mazingira ya biashara yalikuwa na ushindani huku kukiwa na hofu juu ya usalama duniani kote.


Pia alisema thamani ya fedha za kigeni hususan Dola ya Marekani imeendelea kukua ikilinganisha na shilingi ya Tanzania hivyo kusababisha akiba hafifu ya fedha za kigeni na hasara kwa biashara ambazo matumizi yake mengi yanategemea fedha hizo.

Read More »

Picha: Huddah Monroe achefua tena, atupia picha akiwa uc*i kitandani! WAKUBWA TU

0 comments
10982337_501544039986956_8689538412124604069_nHuddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa.


Mrembo huyo wa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti.
Mashabiki wake hawakusita kumchana.

“Dnt you fear God?oh I like your beauty and en everything mash Allah but this idea of being naked subhanallah stop it.You are a good girl hudda you can change if you want,” aliandika Shankaroon A. Mohammed.

“Wajameni u mean ur whoring for real?? Oh my… please stop proving ppl right n be decent now that uv achieved what u wanted… n be quiet, if not for anything else then respect your clientèle. This is wrong,” ameandika Brenskie La’femme.

WAKUBWA TU...BOFYA PICHA HAPA CHINI AKIWA AMEPANUA MAPAJA

Read More »

Mwanamke Amuua Mwanamke Mwenzake kwa Kummwagia Mafuta ya taa na Kumchoma Moto baada ya Kumfumania na Mumewe

0 comments


Mkazi wa kijiji cha Ibosa, kata ya Nyakato, Bukoba Vijijini, Amelia Richard (50) anatuhumiwa kumuua mwanamke mwenzake kwa kummwagia mafuta ya taa na kumchoma moto baada ya kumfumania na mumewe.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera,  Henry Mwaibambe  alitaja tukio hilo ni  la Februari 15, mwaka huu saa 3 usiku katika kijiji cha Ibosa kata ya Nyakata Bukoba vijijini.
  Alimtaja aliyeuawa ni  Pelagia Martin (46) aliyeunguzwa mwili mzima. Kamanda alisema mwanamke huyo alicheleweshwa kufikishwa Hospitali ya Mkoa hadi kesho yake; Februari 16 baada ya wanafamilia kuomba wayamalize bila kwenda Polisi.
  Makubaliano ya wanafamilia hao yalitokana na kile kilichoonekana kwamba  Amelia alimfumania Pelagia akiwa na mumewe,  Richard Bulebo (57) ndani ya nyumba yao.
  Kwa mujibu wa Kamanda, Februari 16 walipoona hali ya majeruhi inazidi kuwa mbaya, ndipo walifika katika Kituo cha Polisi mjini Kati wakiomba msaada.
  Polisi walimpeleka majeruhi huyo Hospitali ya Mkoa lakini alifariki kabla ya kupatiwa matibabu. Polisi inamshikilia Amelia na Bulebo kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo.


Read More »

KIKONGWE ALIYEPIGWA MAWE KWA MADAI YA USHIRIKINA HALI MBAYA

0 comments
 KIKONGWE Hilda Johnfan Pili (79) aliyepigwa mawe kutokana na imani za kishirikina katika Kijiji cha Kilagano, Peramiho mkoani Ruvuma hivi karibuni, bado hali yake ni mbaya kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata.

Kikongwe akiwa hoi baada ya kupigwa mawe kutokana na imani za kishirikina.Kikongwe huyo na Maurus Zenda (46) anayedaiwa kuwa ni mwanaye kiukoo, kwa pamoja walijeruhiwa vibaya baada ya kupigwa na baadhi ya ndugu zake kwa kuhisiwa kuhusika katika upotevu wa mtoto Adamu Mselewa (4).
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia wa ukoo huo, hali ya bibi huyo bado ni mbaya na wanajitahidi kwa hali na mali kuokoa maisha yake katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma alikolazwa.
“Bado hali ni mbaya, bibi bado analalamika maumivu, tunaendelea na matibabu huku tukisubiri madaktari watatueleza nini kuhusu maendeleo yake, ikishindikana hapa tutamhamisha hospitali, afadhali kidogo Maurus,” alisema mwanafamilia huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.

Mtoto wa kikongwe huyo.Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Mihayo Msekhela, waliwakamata watuhumiwa 10 kutokana na tukio hilo, ambao ni Ambros Mselewa (24) ambaye ni baba mzazi wa mtoto aliyepotea, Maria Zenda (45), Lameck Zenda (22), Pautas Komba (24), Fredy Mende (24), Gerord Ngonyani (27), Odilo Mwingira (21), Shadrack Ngonyani (22), Hilda Zenda(36) ambao wote ni wakazi wa Kijiji cha Muunganozomba.
Msikhela alisema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa moja asubuhi baada ya baba mzazi wa mtoto huyo, Ambros Mselewa akiwa pamoja na watu wengine walipoanza kuwashambulia watu hao wakimtaka kijana wao aliyepotea kimauzauza tangu Februari 3, mwaka hu

Read More »

DIAMOND ATOA SABABU ZA KUSHINDWA KUHUDHURIA MSIBA WA BABA YAKE DULY SYKES

0 comments
mond

 

Read More »

HUYU NDIO MSANII WA NIGERIA ALIYEFANYA MAPENZI NA MBWA NA KUWEKA VIDEO MTANDAONI...CHEKI HAPA

0 comments

Anaitwa Cossy Orjiakor, ni msanii wa Nigeria aishie nchini Italy, amekuwa akijulikana sana kwa kutokua na haya na kufanya mambo ya ajabu na ya kikubwa hadharani. Sasa hv kaamua kutoa video akiwa anafanya mapenzi na mbwa. Inasikitisha sana kwani wanaume wapo wengi tena hawana wanawake halafu mtu anaamua kufanya mapenzi na mbwa

ANGALIZO HIZI PICHA NA VIDEO NI CHAFU SANA KWAHIYO WATOTO AWATAKIWI KUANGALIA

BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA PICHA NA VIDEO ZA HUYU MDADA

 BOFYA HAPA PICHA YA KWANZA

Read More »

Wakubwa tu WATOTO MWIKO HAPA : PICHA ZA UCHI ZAVUJISHWA.. tizama hapa live!! ONYO WAKUBWA TU

0 comments



MSICHANA HUYO AMBAYE JINA LAKE TUNALO AMEFANYA KITU KIBAYA SANA KWARAFIKI YAKE, TAARIFA KAMILI NI KWAMBA MSICHANA HUYU AMENYANG'ANYWA MPENZI WAKE NA RAFIKI YAKE TENA WAKARIBU.
SABABU HALISI NI KWANINI AMEMUACHA MSICHANA HUYU NA KUANZA MAHUSIANO NA RAFIKI YAKE, LABDA RAFIKI YAKE HUYU MSICHANA NI MZURI ZAIDI AU MSICHANA HUYU ALIKUWA ANAMPA
ori rafiki yake juu ya mambo ya chumbani anayofanyiwa msichana huyu kama wengine wafanyavyo.

Kwa hiyo dawa aliona ni kuexpose picha za rafiki yake. Hebu zione mwenyewe ndiyo utajua kama ni mzuri zaidi au laa!

WAKUBWA TU KUONA PICHA HIZI....NI AIBU TENA LAANA. HII INAITWA WEKA MBALI NA WATOTO.






Read More »

Picha,majibu ya video Queen Tunda kuhusu picha za utupu na mchekeshaji Stan Bakora.

0 comments

haya 2
Video Queen maarufu Tanzania Tunda amehojiwa hivi karibuni kuhusu picha zilizosamba mitandaoni akiwa na mchekeshaji maarufu Stan Bakora,
Tunda anasema hajaona picha zozote, hajaziona na ila akiziona ndio ataongelea hilo jambo hilo.
Je kuhusu  Jose Chameleone? Tunda akasema Chameleone alikuwa Boy Friend wake, hakujua kama Chameleona ana mke na hataki kuongelea mambo hayo.
Je  Jose Chameleone, akiona Picha ? Tunda akasema Siwezi kusema lolote sababu picha sijaziona.

Read More »

Picha, Range Rover anayotembelea Msanii Ay na comments za mashabiki kuhusu usiri wa mali.

0 comments
ay 12 

Msaani Daz Baba Amesema Ay ni mfano wa kuigwa, Ni baada ya kumuona na Gari yake aina ya Range Rover. Asema anampango wa kufanya naye wimbo. AY Alionekana na Gari yake wakati anaondoka kwenye mazishi ya baba mzazi wa Dully Sykes ‘Mzee Ebby Sykes’. Hizi ni baadhi ya comment za watu kutoka instagram


IMG_0481 
 IMG_0489
Screenshot_2015-02-17-20-28-49 Screenshot_2015-02-17-20-29-14 Screenshot_2015-02-17-20-29-36 Screenshot_2015-02-17-20-29-52 Screenshot_2015-02-17-20-31-06 Screenshot_2015-02-17-20-31-22 Screenshot_2015-02-17-20-31-34

Read More »

Mzee Yusuph Kuoa Tena Mke wa Tatu, Wake Zake Watupiana Vijembe Mtandaoni!

0 comments


Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,Mzee Yusuph anatarajia kuoa tena mke wa tatu hivi karibuni huku wake zake wawili wakiwa kwenye bifu zito wakitupiana vijembe mtandaoni. 
Akipiga stori na paparazi alisema kuwa anatarajia kuoa mke huyo ambaye anaishi huko visiwani Pemba,na kwamba mipango ikiwa tayari kila kitu kitakuwa hadharani. 

Hivi karibuni wake zake wawili ambao ni Malkia Leila Rashid ambaye pia ni mwimbaji wa kundi hilo na mke wake mdogo aitwaye Chiku wamekuwa wakirushiana vijembe kwenye mtandao wa kijamii wa ‘WathsAAp’ kwa kuandikiana ‘Status’ za vijembe.
 Mzee Yusuph akiwa na mke wake pili,Chiku.
Habari zinasema kuwa wake hao wamekuwa kama chui na paka na mzee Yusuph hana mpango wa kuwapatanisha kwa kuwa hakuna hata mmoja aliyeonyesha chuki kwa mwenzake akiwa na nao. 

‘’Waache tu warushiane vijembe tena ndiyo vizuri na dawa yao nawaletea mke wa tatu na wala sina mpango wa kuwapatanisha,’alisema Mzee Yusuph.

Read More »

MAMA KANUMBA AGEUKA MBOGO..NI BAADA YA KUULIZWA HATMA YA KAMPUNI YA Kanumba The Great KUFUNGWA

0 comments
Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, 'Kanumba The Great', Flora Mtegoa.
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo.
Muonekana wa Ofisi ya Kanumba The Great wakati ikiwa inafanya kazi.
Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni jambo langu siyo lazima niliweke wazi, kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi?” aliuliza kwa hasira mama huyo.
Ofisi ya mkali huyo wa filamu za Kibongo, aliyefariki ghafla miaka mitatu iliyopita, ilikuwa eneo la Sinza Mori na ilifungwa wiki mbili zilizopita, baada ya mama huyo kudaiwa kushindwa kumudu kodi mpya ya pango ambayo ilipandishwa.

Read More »

Chenge: Mimi ni ‘nyoka wa makengeza’..kwa kuwa mimi ni mjanja wa kutafuta fedha

0 comments


Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.

Asema ni yule mwenye makengeza, Asisitiza kuwa ni mtafuta fedha

Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, ‘amefunguka’ kuhusu kashfa inayomkabili ya kupata mgawo wa Sh. bilioni 1.6 kutoka kwenye fedha zilizochotwa kifisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), akisema hastahili kuitwa mwizi, bali anapaswa kuitwa ‘nyoka wa makengeza’.
Amesema anapaswa kuitwa ‘nyoka wa makengeza’ kwa kuwa yeye ni mjanja wa kutafuta fedha kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake, ambao wanapaswa kupuuza madai ya wizi yanayoelekezwa kwake, badala yake wamwamini zaidi.
Chenge, ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, alisema hayo wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mahaha kata ya Bunamala, Wilaya Bariadi mkoani Simiyu juzi.
Alisema kwa muda mrefu amekuwa kimya, lakini ameshangazwa na kitendo cha kuandamwa kuhusiana na kashfa ya akaunti hiyo.
“Wanasema Chenge na Escrow…Pale nimeenda kutafuta kwa ajili ya wananchi wa jimbo langu wala sikwenda kubomoa duka. Bali tunatumia akili kutafuta pesa kwa ajili yenu,” alisema Chenge.
Chenge alitoa kauli hiyo wiki chache baada ya kusimama bungeni na kusema amelazimika kufanya hivyo baada ya kumvumilia Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, aliyetaka wabunge wachunguzwe kuhusiana na kashfa ya akaunti hiyo na wa kwanza kuchunguzwa awe Chenge.
Alisema kama Mdee ana ushahidi wa tuhuma anazozielekeza kwake, aupeleke bungeni kama kanuni za Bunge zinavyotaka au tuhuma hizo akaziseme nje ya ukumbi wa Bunge.
“Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi ningelipenda Bunge hili liendelee kuwa na heshima yake. Pili, naomba sana hayo wanayoyasema wawe na ujasiri wa kwenda kuyasema nje ya ukumbi huu wa Bunge, wasijifichie katika immunity (kinga) ya Bunge,” alisema Chenge.
Alisema anayo mengi ya kusema, lakini kwa sababu alisimama kuhusu utaratibu, kumtaja yeye kwa jina moja kwa moja, anaomba aweke ushahidi mezani.
Mdee alitoa pendekezo hilo wakati akichangia mjadala kuhusu taarifa ya PAC na ile ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), bungeni, Januari 30, mwaka huu.
Alisema Chenge amekuwapo katika kashfa mbalimbali za ufisadi, kuanzia ile inayohusu mikataba mibovu.
Kashfa nyingine za ufisadi ambazo alisema Chenge ameshiriki ni pamoja na inayohusu kampuni ya kufua umeme ya Independent Tanzania Limited (IPTL).
Nyingine alisema ni ya hivi karibuni ambayo alipata mgawo wa Sh. bilioni 1.6 zilizochotwa kifisadi katika akaunti hiyo.
“Tuanze kuchunguzana wabunge, tuanze na Chenge,” alisema Mdee.
 Kauli hiyo ya Mdee ndiyo iliyoonyesha kumkera Chenge na kulazimika kusimama bungeni siku hiyo na kutoa kauli hizo.
Kwa mujibu wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), fedha zinazodaiwa kuchotwa kutoka akaunti hiyo, ni zaidi ya Sh. bilioni 300 wakati kwa mujibu wa Rais Jakaya Kikwete, ni Sh. bilioni 202.9.
Chenge alitajwa kupata mgawo huo kutoka katika fedha hizo na taarifa maalum ya PAC iliyowasilishwa kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Zitto Kabwe na Makamu wake, Deo Filikunjombe, bungeni Novemba 26, mwaka huu.
Taarifa hiyo ya PAC, ilimtaja Chenge kupata mgawo wa Sh. bilioni 1.6 kutoka kwenye fedha zilizochotwa kutoka katika akaunti hiyo.
Wengine waliotajwa na taarifa hiyo ya PAC kupata mgawo kutoka katika fedha hizo, ni pamoja na aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka (Sh. bilioni 1.6), Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja (Sh. milioni 40.4) na Mbunge mstaafu wa Sumbawanga Mjini (CCM), Paul Kimiti (Sh. milioni 40.4).
 Pia wamo aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona (Sh. milioni 40.4); aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Dk. Enos Bukuku (Sh. milioni 161.7), Jaji Profesa John Ruhangisa (Sh. milioni 404.25), Jaji Aloysius  Mujulizi (Sh. milioni 40.4) pamoja na Mkurugenzi mstaafu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), Philip Saliboko (Sh. milioni 40.4).
Wengine ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Emmanuel Ole Naiko (Sh. milioni 40.4), Ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Lucy Appollo (Sh. milioni 80.8); Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Dk. Methodius Kilaini (Sh. milioni 80.9); Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Eusebius Nzigilwa (Sh. milioni 40.4) na Padri Alphonce Twimannye Simon (Sh. milioni 40.4).
Kutokana na taarifa hiyo ya PAC iliyohusu ukaguzi maalum wa malipo yaliyofanyika katika akaunti hiyo, Novemba 29, mwaka jana, Bunge lilipitisha maazimio nane dhidi ya wote waliohusika na kashfa hiyo.
Ukaguzi huo ulifanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).
 Taarifa hiyo ya PAC, ilieleza kuwa mmiliki wa kampuni ya Pan African Power Solutions Ltd (PAP), Harbinder Singh Sethi, mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering & Marketing (VIP), James Rugemalira, walihusika kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha kufanyika miamala haramu ya fedha katika akaunti hiyo kwenda kwa kampuni hizo.
 Wengine waliotajwa na taarifa hiyo ya PAC kuhusika katika kashfa hiyo ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini aliyesimamishwa kazi, Eliakim Maswi na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, aliyejiuzulu.
Prof. Muhongo alitajwa na taarifa hiyo ya PAC kuwa alikuwa dalali kati ya Rugemalira na Sethi kufanikisha uchotwaji wa fedha hizo kutoka katika akaunti hiyo.
 Wengine waliotajwa na taarifa hiyo ya PAC kuhusika katika kashfa hiyo, ni pamoja na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema na waliokuwa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
 Hivyo, Bunge likaazimia kuwa Jeshi la Polisi na vyombo vingine husika vya ulinzi na usalama viwachukulie hatua stahiki za kisheria kwa mujibu wa sheria za nchi watu wote waliotajwa na taarifa hiyo ya PAC kuhusika na vitendo vyote vya kijinai kuhusiana na miamala ya akaunti hiyo na wengine watakaogundulika kuhusika katika vitendo hivyo.
 Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya PAC, vitendo vilivyofanywa na watu hao vinaashiria makosa mbalimbali ya jinai, kama vile uzembe, wizi, ubadhirifu, kutakatisha fedha haramu, matumizi mabaya ya madaraka, rushwa na kupokea mali ya wizi.
 Tayari Prof. Muhongo na Jaji Werema walikwishajiuzulu nafasi zao serikalini, huku Maswi, ambaye amesimamishwa kazi akiendelea kuchunguzwa.
 Pia tayari Prof. Tibaijuka ameshatimuliwa kazi na Rais Kikwete kwa kupokea fedha hizo kupitia akaunti yake binafsi iliyoko benki ya Mkombozi, kinyume cha maadili.
Pia kutokana na kashfa hiyo, Chenge, ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, alijiuzulu nafasi hiyo kutekeleza moja ya maazimio ya Bunge yaliyotaka yeye na waliokuwa wenyeviti wenzake wa kamati za Bunge; Ngeleja (Katiba, Sheria na Utawala) na Victor Mwambalaswa (Nishati na Madini), wavuliwe nyadhifa hizo. Wote walijiuzulu nyadhifa hizo.
Mbali na kujiuzulu, Februari 2, mwaka huu, Baraza la Maadili lilitangaza kuwaita kwa nia ya kuwahoji wabunge hao, akiwamo Prof. Tibaijuka, Ngeleja, Mwambalaswa na Chenge, kutokana na tuhuma za kashfa ya akaunti hiyo zinazowakabili.
Wabunge hao watafika mbele ya Baraza hilo, kuanzia Februari 23, mwaka huu.
 Ofisa Habari wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Johanither Barongo, alisema mahojiano hayo yatafanyika kwa wiki tatu na yataongozwa na Jaji mstaafu, Hamisi Msumi na wajumbe wengine wawili, Hilda Gondwe na Celina Wambura.
MIRADI MAENDELEO JIMBONI
Akizungumzia suala la wananchi na miradi ya maendeleo jimboni mwake, Chenge alisema mtaji wa maendeleo ni kila mwananchi kujituma katika kuchangia miradi mbalimbali na kushirikiana na viongozi na serikali kwa manufaa yao.
“Ndugu zangu, ni bora miradi tunayoileta vijijini mwenu mkaitunza ili tuendelee kuwatumikia kwa muda mrefu…na tufanye kazi ya kuilinda miradi hiyo na kuisimamia miradi yote iliyo ndani ya kata hii,” alisema Chenge.
Mbunge huyo alitembelea maabara ya Shule ya Sekondari Sapiwi kuangalia maendeleo ya ujenzi wake baada ya Mfuko wa Jimbo kutoa mabati 300 kwa ajili ya kuezekea maabara.
Shilingi milioni 36 zimetumika kugharimia ujenzi huo, huku wananchi wakichangia Sh. milioni 10 na Sh. milioni 74 zikihitajika.
Awali, Ofisa Mtendaji wa kata ya Sapiwi, Telen Nhandi, alisema zipo changamoto zinazoikabili kata hiyo ikiwamo upotoshaji wa watu katika michango ya kuchangia maabara, ukame na kusababisha mazao mengi kuanza kuathirika.
Alisema hali hiyo imesababisha baadhi ya wananchi kushindwa kuchangia katika miradi ya maendeleo.

Read More »

FUNDI SAA APOKEA KICHAPO AKIDAIWA KUMLAWITI MWANAFUNZI WA KIUME WA DARASA LA 3 - ARUSHA

0 comments

NJEMBA mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.

Read More »

ANGALIA UNYAMA ALIOFANYIWA YULE MTOTO ALIBINO ALIYEIBWA

0 comments
 
Mwili wa mtoto (Albino) Yohana Bahati aliyeporwa juzi Geita umekutwa umekatwa miguu na mikono na kufukiwa kwenye msitu wa Biharamulo.Mtoto
Yohana S/O Bahati Mwenye Umri wa mwaka 1 aliyetekwa huko Chato,Geita akutwa amekatwa mikono na miguu ktk Pori la Biharamulo.Ukatili huu umezidi hata ule wa Shetani R.I.P Yohana 

Read More »

MTOTO WA FLORA SASA JIPU LAPASUKA PWAA!...KILA KITU HADHARANI

0 comments
Flora Mbasha wakati wa kujifungua.
BAADA ya utata wa uhalali wa baba wa mtoto wa Mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha kutawala kwenye magazeti mbalimbali na mitandao ya kijamii, hatimaye jipu limepasuka baada ya baba mdogo wa Flora, aliyejitambulisha kwa jina moja la Kisekwa kufunguka kwamba mtoto huyo ni damu halali ya Mbasha. Kisekwa alifunguka hayo juzikati katika Mahakama ya Ilala jijini Dar alipokuwa amekwenda kusikiliza kesi ya aliyekuwa mume wa Flora, Emmanuel Mbasha kudaiwa kumbaka shemeji yake ambapo alisema anamshangaa Mbasha kushindwa kukiri ukweli ulio wazi kwamba mtoto ni damu yake wakati moyoni anautambua. 
TUJIUNGE NA KISEKWA
“Inakuwaje Mbasha anashindwa kukubali ukweli kwamba mtoto ni wake wakati anatambua fika kwamba ujauzito ni mali yake kabla hata ya mgogoro wao? Ndugu wote tulikuwa tunajua hilo, upande wetu na hata kwao. Mbona hakuikataa tangu kipindi hicho?
Mgogoro wao ulikuwa wa mambo ya kawaida ya kifamilia, haukuhusiana hata kidogo na Flora kuchepuka wala nini, tangu mwanzoni mwa mgogoro wao wakiwa wanaishi pamoja wameshaitwa mara tatu katika ofisi za Ustawi wa Jamii na alielezwa kuwa mkewe ni mjamzito, akifahamu ni mali yake na akaonywa kuwa kitendo cha kuendekeza migogoro ya mara kwa mara kinaweza kumletea matatizo mkewe na kichanga kilichokuwa tumboni, mbona hakubisha? Tulikuwa tukijadili matatizo yao na kila mmoja kuweka hoja zake mezani, hakuna kati yao aliyehusisha mgogoro huo na suala la kuchepuka,” alisema Kisekwa. 

KIAPO CHATAJWA
Kama hiyo haitoshi, kuonesha ana uhakika na anachokizungumza, Kisekwa alimtaka Mbasha ajiapize kwa kushika kitabu kitakatifu cha Biblia kama ana mashaka na ukweli aliouzungumza. 
AKERWA NA MADAI YA GWAJIMA
Mzazi huyo alisema anakerwa zaidi jinsi ambavyo Mbasha amewahi kukaririwa akimhusisha mkewe kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwamba ni baba wa mtoto huyo.
“Anamsingizia tu baba wa watu (Gwajima) maskini ya Mungu kwa vile hapendi kuona anavyomsaidia Flora, lakini ukweli Gwajima sisi ni ndugu yetu, mimi G ananiita baba mdogo kama anavyooniita Flora,” alisema Kisekwa. 
Mchungaji Gwajima.
MBASHA ANASEMAJE?
Wanahabari wetu walipomtafuta Mbasha kuhusiana na ukweli kwamba kichanga ni mali yake, hakutaka kukubali wala kukataa zaidi ya kupinga suala la ujomba wa Flora na Gwajima.
“Flora aseme ukweli, ujomba wa yeye na Gwajima umetoka wapi? Hilo tu ndiyo nataka alifafanue kwa undani maana wajomba zake wote mimi nilitambulishwa wakati ninamuoa,” alisema Mbasha.
Mwandishi: Kuhusu ukweli kwamba mtoto ni wako unazungumziaje?
Mbasha: Hilo litajulikana tu lakini mimi nataka kujua ujomba wake na Gwajima umetoka wapi? Hapo tu. 
TUJIKUMBUSHE
Mbasha na Flora ambao waliishi kwenye ndoa na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, mwaka jana walifikia hatua ya kutengana na kila mmoja kuishi kivyake baada ya kushindwa kutatua mgogoro wao wa muda mrefu wa kifamilia.

Read More »

KUELEKEA SIKU YA WAPENDANAO>>>HAWA WENZETU WAMEONESHA MFANO KWA KUTOKA NA KWENDA KWENYE MAPAROMOKA YA MAJI>>>SO LOVELY>

0 comments



 
This is very interesting: i thought when a blind person goes to bed they remove the glasses or when the akorinos do such a naughty thing they remove the kilemba for I can assume its against their
religion and it should haunt them... or they are waiting to get to the top... hehe this is funny.

Read More »

video: mwanamke adakwa akitaka kuchepuka na mume wa mtu...wamnyoa nywele kisha kukalia chupa

0 comments
'
Nimeona hii video nikasikitika sana.... Jamani jamani jamani hii haikubaliki hata kidogo ni kinyume na Haki za Binadam... Yesu Ruwa... yaani umkalishe mwanamke mwenzako kwenye chupa???? na nywele zake umenyoa juu???

Najua uchungu wa Mume na ninajua mchepuko unavyomwaga sumu ndani ya Familia, najua sana na hizo kesi ni nyingi mnooo kwa sasa... nyingi ni wanaume wametelekeza nyumba zao na kuishia kwa michepuko.... unakuta nyumba kama hiyo imegeuka siria kwa vita vya kila aina....PAMOJA NA HAYA YOTE BADO NASEMA ADHABU KAMA HII HAIKUBALIKI JAMENI....Nchi yetu inaongozwa kwa Taratibu na sheria, tusichukue sheria mkononi kina mama wenzangu jamani... aiseeee....
ninachoweza kusema ni kwamba sisapoti kilichofanyika kwa Mume kumsaliti mke na pia siungi mkono alichofanyiwa huyu dada anaetuhumiwa kukwapua mume....

Ninajaribu kuangalia sisi kama Wanawake, tunachangia vipi kuepusha Ukatili na Udhalilishaji wa sisi kwa sisi????

Naomba kupata mtazamo wako juu ya sakata hili, na zaidi ya hapo tutazame jambo hili kwa jicho la tatu...usikurupuke kwa kweli maana hii ni hatari sana...
Ebu vaa viatu vyao kidunchu... naomba ushauri ungekuwa ni wewe 'unaetoa adhabu' ungefanyaje au ungekuwa ni wewe 'unaepewa adhabu' ungefanyaje kutoka ndani ya moyo wako, ikiwa mume au mke amekusaliti???? na ukamjua anaekuibia

Read More »

MTOTO WA FLORA MBASHA AIBUA MAZITO...GWAJIMA ATAJWA,FLORA ABANWA,ASEMA MUNGU ATAMLEA MWANAYE

0 comments


HAKUNA dogo! Siku tano zimekatika baada ya mwimba Injili nyota nchini, Flora Henry Mayalla Mbasha kujifungua mtoto wa kike huku kichanga hicho kikiibua mazito kwenye mitandao ya kijamii, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi.
Kwa mujibu wa chanzo, Flora alijifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji Jumanne iliyopita kwenye hospitali moja iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mwimba Injili nyota nchini, Flora Henry Mayalla Mbasha akiwa na mtoto wake wa kike baada ya kujifungua.MSHTUKO KWANZA
Baadhi ya mitandao ya kijamii ilitundika picha ya Flora akiwa kitandani hospitalini na kichanga chake huku watu wakitupia maneno yenye kuonesha mshtuko, kama vile:

“He! Kwani Flora alikuwa na mimba? Mbona alikuwa kawaida sana?”
“Wanawake wengine wameumbwa hivyo, matumbo yao hayawi makubwa. Nampa hongera kwa kujifungua.”
“He! Jamani! Dada Flora kajifungua kweli au ni igizo? Maana isijekuwa sinema halafu tukampa hongera za bure tu.”

Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito.‘UTABIRI’ WAANZA
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya mitandao ya kijamii Bongo. Kusema chochote bila kusikia kauli ya mhusika, baadhi ya mitandao ikaanza kupitisha mitazamo kwamba, mtoto huyo amefanana na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima.

Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha kwenye pozi la kimahaba.KIGEZO
Kigezo walichotumia watu hao ni ule mgogoro kati ya Flora Mbasha na mumewe, Emmanuel Mbasha miezi saba iliyopita ambapo Flora aliondoka kwa mumewe, Tabata na kudaiwa kuishi kwa Gwajima.
MPAKA PICHA
Baadhi ya mitandao ilipitiliza kwa kutundika picha ya Gwajima akiwa ameshika kipaza sauti sanjari na ya mtoto huyo akiwa ndani ya ‘bebi shoo’.


Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo la jijini Dar, Josephat Gwajima.IJUMAA LAZUNGUMZA NA FLORA
Baada ya kutokea kwa hali hiyo ndani ya mitandao, Ijumaa lilimsaka Flora kwa njia ya simu ili kujua ukweli wa yeye kujifungua mtoto na pia kumtaja baba wa mtoto.
Ijumaa: “Mambo Flora? Hongera kwa kujifungua.”
Flora: “Asante sana.”
Ijumaa: “Kumbe umejifungua bwana!”
Flora: ”Mbona umechelewa kujua!”
Ijumaa: “Mtoto gani?”
Flora: “Wa kike.”
MBASHA APIGA CHENGA
Ijumaa liliamua kumuuliza Flora kama mumewe, Mbasha ameshafika kumuona mtoto huyo.
Ijumaa: “Oke! Mungu amtunze na kumsimamia katika afya njema. Vipi baba yake (Emmanuel) ameshakuja kumuona?”
Flora: “Hajaja. Lakini it’s ok! Maana Mungu mwenyewe atamlea.”
MADAI ETI NI WA GWAJIMA
Ijumaa: “Sasa baadhi ya watu wameanza kusemasema eti ni mtoto wa Gwajima. Watu bwana!”
Flora: “Acha tu waseme lakini uzuri mtoto kamfanana baba yake (Emmanuel) kwa kila kitu. Wanaosema kuhusu Gwajima wana lao jambo na hawajui walisemalo.”

Mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha.ANENA MAZITO
Ijumaa: “Nashukuru sana Flora.”
Flora: “Asante na wewe, lakini narudia tena, wanaosema ni mtoto wa Gwajima Mungu na awabariki tu maana mimi sitishwi na maneno ya wakosaji. Namwangalia Mungu tu aliyeniumba na kunifanya niwe hivi nilivyo leo.
“Isitoshe picha walizoeneza mitandaoni si za mwanangu, so hata sipati shida. Biblia inasema pande zote twadhikika bali hatusongwi, twaona shaka bali hatukati tamaa, twaudhiwa bali hatuachwi, twatupwa chini bali hatuangamizwi.
“Kwa hiyo hatulegei bali ijapokuwa utu wetu wa nje umechakaa lakini ndani wafanywa upya siku kwa siku.”
KUMBE PICHA SI ZA MTOTO WAKE
Flora alisema anachomshukuru Mungu picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimwonesha mtoto kama wa siku kumi si za mtoto wake.
Flora: “Kwanza hiyo picha iliyosambaa kwenye mitandao namshukuru Mungu si ya mtoto wangu. Mimi nimeshawasamehe wote walio kinyume na mimi na wale wasioujua ukweli lakini wanasambaza taarifa.”
Ijumaa: “Asante sana Flora.”
Flora: “Nashukuru sana.”
MBASHA HAPOKEI SIMU, SI KAWAIDA YAKE
Baada ya kumaliza kuwasiliana na Flora, Ijumaa lilimpigia simu Emmanuel Mbasha ili kumsikia anasemaje kuhusu ujio wa mtoto huyo hasa ikizingatiwa kwamba, mkewe aliondoka nyumbani kwa muda mrefu.
Simu ya Mbasha iliita bila kupokelewa hata ilipopigwa mara kadhaa jambo ambalo si kawaida yake. Hata pale alipotumiwa ujumbe mfupi wa maneno, Mbasha hakujibu kitu!
GWAJIMA KAMA MBASHA TU
Baada ya ukimya wa Mbasha, Ijumaa lilimtafuta Gwajima kwa njia ya simu yake ya mkononi, naye iliita kwa mara kadhaa bila kupokelewa. Lengo la kumtafuta Gwajina ni kutaka kumsikia anasemaje juu ya madai ya watu mtandaoni kudai mtoto ni wake na nini kauli yake dhidi ya watu hao.

Read More »