Matokeo na Picha za Mechi ya Premier League ya Newcastle Dhidi Ya Sunderland

0 comments
pl 36
Matokeo na Picha za Mechi ya Premier League ya Newcastle Dhidi Ya Sunderland
adamjohnson
fabriciocoloccinistevenfletchernewcastle-sunderlandfannewcastlevsunderland  stevenfletchersteventaylor

Read More »

Matokeo na Picha za Mechi ya Premier League ya Liverpool Dhidi Ya Arsenal. INGIA HAPA

0 comments
pl 40
Matokeo na Picha za Mechi ya Premier League ya Liverpool Dhidi Ya Arsenal.
martin_skrtel_getty

Read More »

Wiz Khalifa kaungana na Davido na Huddah kwenye list ya Xmas hii.

0 comments


Ni gari aina ya Bugatti Veyron Rembrandt edition alilolinunua ambalo amelipa jina lake badala ya kuweka namba kama raia wengine huku pesa ya kulinunua ikitajwa kuwa ni 2.5 million ambayo kwa Tanzania ni zaidi ya 4246750000.

Wiz Khalifa amejinunulia huu mkoko kwenye kipindi hiki cha sikukuu ambacho mastaa wengine wa Afrika pia wamejinunulia magari yao akiwemo Davido wa Nigeria na Huddah wa Kenya.







huddah 2
Huddah.
dvd



Read More »

MWANAFUNZI ALIWA URODA NA MWALIMU..INGIA HAPA KUCHECK VIDEO

0 comments

MWANAFUNZI ALIWA URODA NA MWALIMU..TAZAMA HAPA



Mwalimu huyu alikuwa anawafundisha wanafunzi wake wimbo wa Azonto ili waonyeshe shoo siku ya sherehe, shida ikaja baada yakuona mauno wanayokata hawa wanafunzi ni noma


ustarbu ulimshinda na kujikuta naye amejitupa kucheza Azonto. Angalia sasa amepandisha mzuka mpaka analazimisha kucheza na mwanafunzi wake .Aibu aliyoipata huyu mwalimu hutaamini kama utaangaklia video yake. We fanya vile wanyavyo wazenji hapo chini mbona utacheka mpaka udodoke.

Na ninyi wanafunzi acheni kuwatega walimu wenu bana , kwani na ninyi wanafunzi mshaweka stairi ya kuwatega walimu wenu

Read More »

Picha, Jibu Kuhusu Mahaba Ya Zari Na Diamond Ndio Hili,#KissNTell INGIA HAPA KUTAZAMA PICHA IZO ZA MAHABA.......

0 comments

Ni swali alilolikwepa sana Diamond kuhusu mahusiano yake na Zari The Boss Lady wa Uganda. Hivi karibuni kwenye party ya Zari #ZariAllWhiteParty iliyofanyika Kampala Diamond na Zari wameweka wazi mahusiano.
Picha zinaonyesha Diamond na Zari wakiFrench Kiss mbele za watu kwenye party iliyofanyika club Guvnor.


zari 4

 zari 2 zari 3 zari 4

Read More »

Baadhi ya picha zilizochukuliwa usiku huu kwenye show ya #Zari_AllWhite_CirocParty hizi hapa… INGIA HAPA KUZITAZAMA

0 comments
http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/232.jpghttp://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/113.jpg3456
1971478_819810648080987_2025137741_n
10864893_374359276063658_1036335938_n78910857958_10153006148796015_2596023406209527585_n
IMG-20141219-WA0000 IMG-20141219-WA0001 IMG-20141219-WA0003 IMG-20141219-WA0004 IMG-20141219-WA0007 IMG-20141219-WA0008 IMG-20141219-WA0012 IMG-20141219-WA0013 IMG-20141219-WA0014 IMG-20141219-WA0015 IMG-20141219-WA0016 IMG-20141219-WA0017 Screenshot_2014-12-19-01-28-34 Screenshot_2014-12-19-01-28-48

Read More »

Picha,Nje Ya Chumba Cha Diamond Na Zari,Ulinzi Ulikuwa Hivi. INGIA HAPA

0 comments
askari 5
Mlinzi kutoka jeshi la Uganda 
askari
Hawa askari tuliwaona wakati Diamond Platnumz amewasili Uganda na kupokelewa Airport kwa mbwembwe sana.
askari 2 
Kumbe ulinzi wao uliendelea mpaka siku ya sho ambapo mmoja wao aliwekwa Nje ya chumba cha Diamond na Zari. Ni Mlinzi kutoka jeshi la Uganda akilinda usalama Wa@diamondplatnumz na @zarithebosslady  Hii picha akiwa nje ya chumba akiwasubiri wakati wakijiandaa.

Read More »