Hizi ni baadhi ya picha kuhusu hii kazi mpya.
- Sheta na Kcee
- Sheta na phyno
- Sheta, GodFather na Kcee
Read More »
THAMAHANI KWA PICHA IZI ZA AJALI YA IRINGA LEO: BASI LAUA ZAIDI YA ABIRIA 40 BAADA YA KUANGUKIWA NA KONTENA
17:15 0 comments
sehemu kunaitwa Changarawe ambapo gari
aina lori lilokuwa likitokea Dar kwenda Mbeya
ambapo lilikuwa likikwepa shimo kubwa lililopo
katikati ya barabara na kugongana na gari la
abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitoka
Mbeya kwenda Dar. Hii ni maelezo ya trafki
aliyepo hapa.
Kontena la lori limelalia kabisa basi, na watu
wengine wamelaliwa na wengine
wameporomokea korongoni, mpaka sasa
hakuna majeruhi ni maiti tu, wala hakuna mtu
ambaye inadhaniwa amepona.



Read More »
Mahakama Kuu iliyoketi chini ya Jaji Richard Mziray, ilikubaliana na hoja za mawakili wa Chadema waliosema kuwa ufunguaji wa kesi hiyo ulikosewa baadhi ya vifungu vya sheria na hivyo kumtaka mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini kulipa gharama zote za kesi hiyo. Zitto hakufika mahakamani badala yake alituma mawakili wake.
Wakati Zitto akifungua kesi hiyo Januari mwaka jana, tayari Chadema ilikuwa imewafukuza uanachama Dr. Kitilya Mkumbo na Samson Mwigamba ambao pamoja na Zitto, walituhumiwa kupanga njama za kufanya mapinduzi ya uongozi ndani ya chama hicho. Zitto alikuwa akitetewa na wakili Albert Msando wakati Chadema iliwakilishwa na Tundu Lissu, Peter Kibatala na John Mallya.
Read More »
Heshima kwenu mabibi na mabwana.Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusiana na suala la usagaji kwa wasichana bila kupata jibu stahiki.
Baadhi ya wasichana wanadai kwamba kuachwa na wapenzi wao mara kwa mara kunachangia kwa kiasi kikubwa wao kujiingiza katika mapenzi ya jinsia moja,
wengine wanadai kwamba shule za boarding zinawasababishia kujiingiza katika mambo haya kwani muda mwingi wanakua wao wenyewe tu bila kujichanganya na wavulana.
Nini maoni yako wewe mwanajamvi,karibuni wakinadada muweze kutupa ukweli wa hili jambo,wavulana pia mnaruhusiwa kuchangia chochote ili tupate mawazo tofauti tofauti.
Asanteni
Read More »
Masistaduu wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ na rafiki yake, Winfrida Josephate ‘Recho’, wamefanya mambo ya aibu mbele ya kadamnasi.
Tukio hilo la aibu lilijiri hivi
karibuni usiku kwenye bwawa la kuogelea (swimming pool) ndani ya Hoteli
ya Regency-Mikocheni jijini Dar ambapo kulikuwa na ‘bethidei’ ya
Recho.
Awali, mastaa hao walianza kwa kulishana keki kwa staili ya njiwa (kwa mdomo), jambo lililoibua minong’ono mahali hapo.
Awali, mastaa hao walianza kwa kulishana keki kwa staili ya njiwa (kwa mdomo), jambo lililoibua minong’ono mahali hapo.

Kama haitoshi, baada ya tukio hilo, wawili hao waliweka mapozi tata
wakipiga picha zilizowaonesha nusu utupu huku vinguo walivyovaa vikiacha
wazi sehemu kubwa ya maumbile yao nyeti.
Read More »
ENEO
la Mjohororoni wilayani Hai, mkoa wa Kilimanjaro jirani na uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kando ya barabara ya
Moshi/Arusha, linazidi kuwa na rekodi mbaya ya matukio ya mauaji.

Hapa
ndipo aliuawa mfanyabiashara bilionea wa madini aina ya Tanzanite
Erasto Msuya (43) kwa kupigwa risasi zaidi ya 10 kifuani mwaka juzi- na
sasa miili mitatu ya watu wanaodhaniwa kuwa wachimbaji wa madini hayo
mkoani Arusha, imeokotwa ikiwa na michubuko midogo na wengine damu
ikitoka Puani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, amethibitisha tukio lakini akaahidi kutoa taarifa kamili baadaye.
Paparazi limeelezwa kuwa tukio hilo limetokea leo asubuhi majira ya 2:000 katika eneo hilo maarufu kama kwa Wasomali.
Vijana hao wanaodaiwa kuwa na umri kati ya miaka 28 na 32 walikutwa katika eneo hilo na msamaria mwema ambaye baadaye alitoa taarifa kituo cha Polisi Bomang’ombe.
Mtoa
taarifa wetu, amesema kuwa miili hiyo baada ya kuondolewa eneo hilo na
polisi, ilipelekwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa ya Mawenzi kwa
ajili ya kuhifadhiwa lakini ilishindikana kutokana na chumba cha
kuhifadhia maiti kujaa.
Read More »
Na hili ndio jibu la Fid Q kwa mashabiki waliohisi kapaka lip bum kwenye video yake mpya
15:36 0 commentsKwanza ni video iliyovunja rekodi kwenye line ya Fid Q kwa kupata views zaidi ya elfu 20 ndani ya saa 24 huku zaidi ya watu 500 wakilike na 20 wakidislike kwenye mtandao wa YouTube.
Kwenye headlines za hii video mpya pia kumekua na maswali ya mashabiki kwa Fid Q ambapo baadhi yao walitaka kujua kama ni kweli Fid kapaka lip bum mdomoni wakati wa kushoot video hiyo.
Jibu la Fid lilikua hili >>> ‘Sijapaka lip bum wala stick.. zile ni lips zangu baada ya kupigwa na effects kwenye editing.. cheki kwenye screen kubwa‘
Read More »
Baraza la maadili ya utumishi wa umma siku ya February 26 limekaa kikao kujadili ishu ya fedha za Escrow ambapo Mbunge Andrew Chenge alifikishwa kwa mara ya pili mbele ya Baraza hilo kwa ajili ya kuhojiwa.
Baraza hilo lilikwama kumhoji Chenge
kutokana na Mbunge huyo kukata rufaa Mahakama Kuu kupinga kuhojiwa
ambapo mwenyekiti wa Baraza hilo amesema wanasubiri mwongozo wa Mahakama
Kuu kuhusu kumhoji Mbunge huyo.
Ikafika zamu ya Mbunge Anna Tibaijuka, katika kuhojiwa kuhusu ishu ya mgao wa fedha za Escrow aliulizwa kuhusu matumizi ya fedha alizopata.
Katika maelezo yake kuna fedha milioni
kumi ambazo alisema kwamba ilikuwa ni hela ya mboga kitu ambacho
kiliwachekesha watu waliokuwa ndani ya kikao hicho.
Read More »
.
Kama wewe ni shabiki wa muziki wa Africa
unaweza kuwa na hamu ya kufahamu ni single gani ambayo iko juu kwenye
chati za muziki huu duniani…. kwa sababu kazi yangu ni kukusogezea zote
muhimu, nakusogezea na hii kwamba video ya ‘Nitampata wapi’ ya Diamond
Platnumz kupitia kituo cha TraceTV ya Ufaransa imeicheza video hiyo kama
namba 1.
.
Mbali na video hiyo kuchezwa kama namba 1
kwenye kituo hicho cha Trace TV, Diamond Platnumz ana sababu nyingine
ya kufurahi mafanikio ya kuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kupitia video
yake ‘Nitampata wapi’ kufikisha views milioni 2 tangu iwekwe Nov 20,
2014.
.
.
Read More »
Thursday, February 26, 2015
Mwanamuziki Nuhu Mziwanda ambae ni mchumba wa mwanamuziki Shilole (Shishi baby) ameomba radhi jana kupitia ukurasa wake wa Intragram baada ya kupost picha ambayo inaonyesha maungo ya ndani ya mpenzi wake huyo walipokuwa wakioga,picha hiyo ilimuonyesha Shilole akiwa kifua wazi.Kwa mujibu wa Nuhu Mziwanda amesema kuwa alipost picha hiyo ili apate Kiki kwa ajiri ya video yake mpya ya Zimataa ambayo bado haijatoka mpaka.Shilole na Nuhu Mziwanda katika pozi.
Baada
ya juzi usiku Nuhu mziwanda kupost picha hiyo kwenye ukurasa wake
mashabiki zake walionyesha kutofurahishwa na kitendo hicho na wengihne
kufikia hatua ya kutukana huku wengine wakidai kuwa amemdharirisha
mpenzi wake huyo ambae ni mama wa watoto wawili.lakini baada ya hapo
Nuhu aliifuta picha hiyo alipogundua hali ya upepo imekuwa tofauti na
vile ambavyo yeye alidhania.
Anapenda
mwenyewe kuzalilishwa huyo @shilolekiuno kwani ni picha yake ya
kwanza???? ... nawapenda lakini wameniuziii toka wapost ule ujinga,na
kujisahaulisha kama wee ni mama wa mabinti wakubwa tu sijui wanajifunza
nini wakiona hizo picha..."Kapost mpenz wake yuko maziwa wazi yale sio
mapenzi unaitwa uzalilishaji Wa wanawake Hao ni baadhi ya mashabiki
waliotoa yao ya moyoni baada ya kuiona ile picha ya Nuhu wakiwa pamoja
na Shilole.
"Naomba
niombe radhi kwa waliochukizwa na picha niliopost usiku wa jana.Lakini
naweza sema pia ile ilikuwa ni video yangu mpya ya wimbo wangu wa
Zimataa.So ilikuwa ni promotion picture.Ila mwisho wa maneno yangu ni
kuomba radhi kwa lililotokea."
Hata
baada ya kuomba radhi hali ya mashabiki bado ilikuwa ileile ni watu
walionyesha kukerwa na kitendo kile bado waliendelea kutukana na
kusababisha hata post ya kuomba radhi pia kuifuta katika Accouny yake
hiyo ya Instragram.
Read More »
Shilole na Mchumba Wake Nuh Mziwanda Wachafua Hali ya Hewa Mtandaoni baada ya Kutupia Picha za Uchi
21:29 0 comments
Mwigizaji
na mwanamziki, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambae ni mama wa watoto
wawili wa kike , akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada
ya kutupia picha yaowakiwa uchi.
Nuh
Mziwanda ndio alioibandika picha hiyo kwenye ukursa wake kwenye mtandao
wa instagram na baada ya kuona watu wengi wanamshabulia aliamua
kuibandua.
Wapo
walioona kuwa kitendo alichokifanya Mziwanda labda ni kutokana na umri
wake hivyo hayo ni baadhi ya matokeo ya kuwa na mahusiano na mtu
mtoto.
Lakini pia wapo walioona kuwa wawili hawa wanatafuta KIKI tu ili media za hapa Bongo ziwazungumzie kama Zari na Diamond, ila pia wapo amabo wanaona hii iko poa na haina tatizo.
Read More »
Wema Sepetu amechoka uhusiano wa boyfriend na girlfriend. Muigizaji hiyo wa filamu amesema anataka kuolewa.
Wema alisema hayo jana kwenye reality show yake, In My Shoes baada ya meneja wake Martin Kadinda kumuuliza kwanini hana ‘kiki’ kwa sasa.
Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 alisema kuna vitu vingi anataka kuvifanya ikiwemo kuwa na hamu ya kutulia na kuwa mke wa mtu.
Hata hivyo Wema alisita kumweka wazi mwanaume anayetaka kumweka ndani na kumtaka meneja wake kuwa na subira
Read More »

Doriane Kundwa, 19years old and student from the Northern Province of Rwanda, was crowned as the MISS RWANDA 2015 beating 14 other contestants. She was given a Suzuki Swift and will receive a monthly salary of $1000 during her reign. She also became brand ambassador for telecommunications company Airtel. Eish!! Here are the photos of the beautiful young lady
Doriane Kundwa, 19years old and student from the Northern Province of Rwanda, was crowned as the MISS RWANDA 2015 beating 14 other contestants. She was given a Suzuki Swift and will receive a monthly salary of $1000 during her reign. She also became brand ambassador for telecommunications company Airtel.
Eish!! Here are the photos of the beautiful young lady……


Read More »
MZAZI MWENZA WA MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA MH. SUGU APOST TENA PICHA YA UTATA INSTAGRAM ONA NA ALICHOSEMA LIVE!!
14:26 0 commentsUnaletwa karibu zaidi na video mpya ya Izzo Bizness Ft Shaa ‘Kidawa’ INGIA HAPA KUITAZA
12:21 0 comments
Hii video mpya ya Izzo Bizness amefanya wimbo na Shaa, unaitwa ‘Kidawa’ Video imeongozwa na Nick Dizzo wa Focus Films,Tanzania . Audio imetayarishwa na Dupy wa Uprise Music na kuwa Mastered na Master J pale MJ records Dar es Salaam, Tanzania.
BONYEZA HAPA CHINI KUITAZAMA VIDEO
Read More »

Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo ambacho kwa maoni ya mashabiki hao hakistahili kuvaliwa na mwanamke mjamzito na kibaya zaidi alionekana mkononi ameshika shupa ambao wengi waliiona kama niyakilevi.
Aunty Ezekiel alibandika picha hiyo hapo juu hivi juzi kati akiwa na jamaa kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuandika maneno “My best friend,my love,my kimoko I love him so much”
Baada ya kubandika ujumbe huo baadhi ya mashabiki wake walionyeshwa kukera na mavazi na sehemu alikokuwepo nalumtaka atulie nyumbani alee mimba yake kwani kwasasa inaonekana kuwa na ya zaidi ya miezi nane na wiki kadhaa.
“Ungetulia tu nyumbani ukasubirikujifungua salamamjamzito kuzurura namna hiyo na mijanaume sio poakabisa tena na kilaji mkononi harafu pia hata hayo mavazi mmmh!!” alisema mmoja wa shabiki na kuungwa mkono na wengine wengi.
Baada ya muda kidogo aunty ezekel akaibuka na kuandika ; “Plz msiwe bac mnaongea kitu kabla ujajua undani wake, ni vizuri kuuliza kuliko kuandika tu ilimradi na wewe uonekane umeongea hiyo nguo ni special kwa mama mjamzito na hapo juu inampira wakutosha tu na mapajani ndio inabana sasa”
Lakini majibu hayo yalionekana kuamsha maneno zaidi ya kumponda Aunty ambae nae mwishoni alionekana kushindwa kuvumilia na kutoa maneno machafu ambayo sio busara kuyabandika hapa.
Wewe je umeionaje picha hiyo ya Aunty?
Read More »

00Ps!! ladies have gone crazy to seek attention! They will do anything to win men who will say they are hot or try to engage them in talks.A lady cannot believe she is hot unless she has several who are trying to win her.They will do anything on social media to attract men.This is a Kenyan lady posting n’ude pics on social media to seek men who will appreciate her beauty.This is crazy
Read More »
Wasanii waliofanya #VituAmazing na wimbo wao wa Muziki Gani wamekutana tena studio kwaajili ya rekodi nyinine. Ni Diamond na Nay wa Mitego. Diamond kwa sasa anang’ara na rekodi ya Ntampata wapi ambayo inapewa muda mkubwa wa hewani kwenye vitui vya kimataifa ka Trace Tv huku Nay akifanya vizuri na rekodi na video yaAkadumba
Read More »
Subscribe to:
Posts (Atom)




