Bracket - Alive ft. Diamond & Tiwa Savage VIDEO IPO HAPA INGIA KUITAZAMA



Mabibi na Mabwana,Bracket wametuletea hii video mpya waliyomshirikisha Diamond

http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/10832094_562769273867097_851001626_n.jpg

.
Hii ni video mpya ya wasanii kutokea Nigeria,Bracket iitwayo Alive waliyowashirikisha Tiwa Savage  pamoja na Diamond Platnumz ukishamaliza kuitazama mtu wangu usiache kuniandikia lako la moyoni ili Bracket na Diamond & Tiwa Savage wakipita waone watu wao mmesema nini kuhusu video hiyo.

             CLICK HAPO CHINI KUITAZAMA VIDEO


0 comments: