Picha,Cristiano Ronaldo Akizindua Sanamu yake ya heshima Aliyojengewa huko Medeira Ureno INGIA HAPA

Cristiano Ronaldo ameizindua sanamu yake ya heshima aliyojengewa huko Medeira Ureno juzi , hii imekuja siku moja baada ya mchezaji pekee duniani kuweza kushinda makombe yote kwa ngazi ya klabu katika vilabu viwili tofauti.
sanamuu 2 sanamuu 3 sanamuu

0 comments: