MABOMU YAFUKULIWA NA WACHIMBA MTARO



Mabomu Nane ya kutupwa kwa mkono yanayodaiwa 

kutengezwa China na Urusi yafukuliwa na wachimbaji wa 

mtaro kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mganga yakiwa 

yamehifadhiwa ardhini karibu na nyumba moja katika kijiji 

cha Mabamba wilayani Kibondo mpakani mwa Tanzania na 

Burundi.

Nini maoni yako kuhusiana na kuzagaa kwa mabomu ya aina hii 


katika makazi ya watu

0 comments: