Ingia Hapa Kutazama Picha Za Kimahaba Za V Money Na Jux Unautafsiri Vipi Ukaribu Wao Huu ? 2015 Ndio Hii.
Ni miongoni mwa maswali mengi yanayoulizwa kuhusu wapenzi wa bongo
fleva, Vanessa Mdee na Jux, Je ni wapenzi au marafiki tu ? Kwenye
interview tofauti nilizofanya nao kila mara V Money husema kuwa ” Me na Jux ni marafiki sana, na tumekuwa hivi kwa muda mrefu” . Je mwaka 2015 wataweka wazi kuwa kinachoendelea kati yao ni zaidi ya Urafiki ?
0 comments: