Soma habari inayomuhusu Wema Sepetu kuhusu mahusiano yake mapya baada ya kuachana na DIAMOND

WEMA222 
Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx.
 
Mwanamitindo Ally Dax.
Mwanamitindo Ally Dax.
Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote,Wema amekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.

0 comments: