Flora Mbasha, akimbilia mahakama ya kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe Story Kamili Ipo Hapa

Photo: Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Inili, Flora Mbasha, amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.

Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?


Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Inili, Flora Mbasha, 

amekimbilia mahakama ya hakimu mkazi kisutu, akiomba 

kuvunja ndoa kati yake na mumewe, Emmanuel Mbasha. 

Flora anadai sababu za kuomba kuvunja ndoa hiyo apewe 

talaka ni kutokana na tabia ya mumewe kumpiga, 

kumnyanyasa na kushindwa kumpatia matibabu.








Una lipi la kuwaambia wanandoa hawa?

0 comments: