Rais wa Serikali ya wanafunzi UDOM amekiri kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi wanaojihusisha na ukahaba

Photo: Rais wa Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha UDOM Masatu Kyabwene amekiri kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Dodoma kujihusisha na biashara ya ukahaba kutokana na kukosa mikopo.
 “Kuna baadhi ya wanafunzi chuoni kwangu wana maisha magumu sana kutokana na kukosa mkopo,wakati mwingine wananifuata mimi na kunielezea shida zao ili niwasaidie,wengine ni yatima hawana baba wala mama wa kuwalipia ada,siyo siri maisha ya wanafunzi hawa ni magumu sana”amesema.

Nini maoni yako kuhusu jambo hili?

Rais wa Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha UDOM Masatu 

Kyabwene amekiri kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi wa 

vyuo vya elimu ya juu Dodoma kujihusisha na biashara ya 

ukahaba kutokana na kukosa mikopo. Akizungumza na paparazi 

alisema

“Kuna baadhi ya wanafunzi chuoni kwangu wana maisha magumu 

sana kutokana na kukosa mkopo,wakati mwingine wananifuata 

mimi na kunielezea shida zao ili niwasaidie,wengine ni yatima 

hawana baba wala mama wa kuwalipia ada,siyo siri maisha ya 

wanafunzi hawa ni magumu sana” 

Tatizo la kucheleweshwa kwa mikopo limekuwa sugu sana katika 

vyuo vikuu hapa tanzania ikiwemo chuo cha mzumbe morogoro 

ambapo wanafunzi wa mwaka wa pili hawajui hatma yao ya 

kupata mkopo tangu wapate matokeo yao ya mitihani.


0 comments: