DIAMOND PLUTNAMZ ATUA NA MPENZI WAKE ZARI MJINI SONGEA

0 comments

1Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA.2Diamonda Plutnamz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini.3Mkuu wa wilaya ya Songea Bw.Joseph Mkirikiti akisalimiana na Zari Mpenzi wa Diamond Plutnamz.

456Diamond Plutnamz akifanya vitu vyake kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM.789Diamond Plutnamz akiima pamoja na mwanamuziki Abdul Misambano wa kundi la TOT katika sherehe za miaka 38 ya CCM mjini Songea mchana huu.10Umati wa wananchi waliohudhuria katika uwanja huo

Read More »

LIPUMBA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI LEO NA KUZUNGUMZA KWA UCHUNGU KWA KUPIGWA NA POLISI KWENYE MAANDAMANO...AMTAKA KIKWETE AFUTE KESI

0 comments

MWENYEKITI WA PROFESA  CUF IBRAHIM LIPUMBA AKIWASILI KATIKA MKUTANO HUO 

Kwa mara ya Kwanza tangu kutokea kwa vurugu za kisiasa ambazo zilisababisha mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF profesa IBRAHIM LIPUMBA kupigwa na kukamatwa na jeshi la polisi na hatimaye kupelekwa mahakamani mwenyekiti huyo amejitokeza leo jumapili mbele ya wanahabari na kueleza hali halisi ya tukio hilo huku akieleza adhma yake ya kutaka kumuona rais kikwete kumueleza matatizo ambayo polisi wa Tanzania wanayo ambayo yanapaswa kuzibitiwa mara moja.


Akizungumza kwa uchungu mkubwa LIPUMBA amesema kuwa kilichotokea juzi huko mbagala ni ishara tosha kuwa Tanzania hakuna amani na democrasia ya kweli kwani kuzuia maandamanao ambayo kila mwaka huwa yanafanyika kwa amani na utulivu ni kuwanyima haki watanzania ya kuwakumbuka ndugu zao waliofariki katika vurugu za Zanzibar.

Amesema kuwa kitendo walichokifanya polisi kimewasikitisha sana wao kama wapenda amani na haki kwani polisi hao walikuwa na taarifa tangu tarehe 22 mwezi wa kwanza ila wao wakaja kupiga marufuku maandamano hayo terehe 26 jioni jambo ambalo ni kinyume na utaratibu kwani hawakuwa na muda wa kuwaambia wanachama wao kuwa maandamano hayo yamepigwa marufuku.

“sasa nafanya utaratibu wa kistaarabu kabisa wa kwenda kuonana na rais kikwete na lengo langu ni moja tu la kutaka kumueleza uhalisia wa jeshi la polisi na vitendo vibaya wanavyovifanya kwani tukiendelea kufumbia macho matukio kama haya mwisho wa siku tutajikuta mahali pabaya sana sisi kama nchi hivyo nataka kumueleza kuwa tusiruhusu hali hiyo itokee.”amesema lipumba.

Aidha akizungumzia kauli ya serikali iliyotolewa bungeni na waziri wa mambo ya ndani mh MATHIAS CHIKAWE kuwa CUF walikaidi maagizo ya polisi ya kusitisha maandamano na ilikuwa ni njia ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa amesema kuwa ni kauli za kutunga na uzushi mkubwa na kauli hizo zimeonyesha ni jinsi gani serikali imedhamiria kuwapiga wananchi kisawa sawa katika matukio kama hayo.

Mnamo tarehe 27 mwezi wa kwanza CUF walikuwa wafanye maandanano ya amani kuwakumbuka wanachama wenzao waliouawa huko zanzibari lakini maandamano hayo yaliishia mikononi mwa jeshi la polisi huko mbagala.

Aidha amewashukuru sana watanzania hususani vyombo vya habari kwa kuonyesha ushirikiano mkubwa katika sakata hilo na kuuweka ukweli wa jambo hilo wazi ambapo kila mtanzania ameweza kufahamu ni nini kimetokea.

Read More »
0 comments

DIAMOND PLATNUMZ ATUA NA ZARI MJINI SONGEA, APIGA SHOO KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM

 6
Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya vitu vyao kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM leo.
 7 8 9
Diamond akiimba pamoja na mwanamuziki Abdul Misambano wa kundi la TOT katika sherehe za miaka 38 ya CCM mjini Songea leo.
1 

Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Dk. Jakaya Kikwete wamehudhuria.

2 

Diamonda akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini. 

3 

Mkuu wa wilaya ya Songea Bw. Joseph Mkirikiti akisalimiana na Zari Mpenzi wa Diamond. 

4 5 

 10
11
Umati wa wananchi waliohudhuria katika maadhimisho hayo.
(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA)

Read More »

ARSENAL YAICHAPA 'MKONO' ASTON VILLA

0 comments

 
Mesut Ozil akiifungia Arsenal bao la pili dakika ya 56.
 
Theo Walcott  akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 63.
 
Santi Cazorla akifunga bao la nne kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya 75.
ARSENAL imeibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Aston Villa leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa Uwanja wa Emirates jijini London.
Mabao ya Arsenal yamewekwa kimiani na Olivier Giroud dakika ya 8, Mesut Ozil dakika ya 56, Theo Walcott dakika ya 63, Santi Cazorla dakika ya 75 na Hector Bellerin aliyefunga la mwisho muda wa nyongeza.
VIKOSI:
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Walcott, Cazorla, Ozil, Giroud
Benchi: Szczesny, Gibbs, Gabriel, Rosicky, Flamini, Chambers, Akpom

Aston Villa: Guzan, Hutton, Okore, Clark, Richardson, Delph,Gil, Sanchez, Cleverley, Benteke, Weimann
Benchi: Sinclair, Baker, Bacuna, Agbonlahor, Westwood, Cissokho, Given


Read More »

SHUHUDIA TATTOO ZA AJABU

0 comments
Mary Jose Cristerna, is a Mexican who is better known on the international tattoo circuit as Vampire Woman
Ms Cristerna, pictured, has heavily modified her teeth to fit in her her vampire-inspired image
As well as extreme modification to her face, she offers people the key to hear heart, pictured
This Venezuelan man is known, unsurprisingly enough, as Red Skull. He appeared at the four-day event

Kala Kaiwi, pictured, holds the world record for the non-surgically made stretch earlobes, at 109mm wide
Kala Kaiwi, pictured, describes himself as a body modification artist from Hawaii
Colombian Carlos Dehaquiz, who looks lizard-like, is one of the more normal exhibitors at the event
This woman hitches up her jeans to show of the design on her left leg, pictured which includes a skull

Read More »

DIAMOND, ZARI NDANI YA SONGEA INGIA HAPA KWA PICHA ZAIDI

0 comments
 
MFALME wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' tayari yupo katika Mji wa Songea mkoani Ruvuma akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' tayari kwa ajili ya shoo itakayosindikiza hafla ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo katika Uwanja wa Majimaji.

Read More »

PAC yaibua ufisadi wa bilioni 9/- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere JNIA

0 comments

  Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),Zitto Kabwe.
Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) imeibua ufisadi uliopelekea upotevu wa zaidi ya Shilingi bilioni tisa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam.
Akiwasilisha taarifa ya mwaka ya Kamati hiyo kuhusu hesabu zilizokaguliwa za Serikali Kuu na Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2013, Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe alisema kuwa ufisadi huo umetokea kwenye mradi wa ujenzi wa Jengo la watu mashuhuri kwenye uwanja huo. 
Zitto alisema kuwa ukaguzi uliofanyika unadhihirisha kwamba harama halisi za ujenzi wa jengo la watu mashuhuri kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere zina mkanganyiko.
Alisema katika ukaguzi ulofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG), mkaguzi huyo alishindwa upata nyaraka wala vilelezo vyote vilivyomo kwenye majalada ya ofisi za Mamlaka ya vya Ndege (TAA) na yale ya kiwanja cha JNIA ikiwemo mkataba kwa ajili ya kuonyesha gharama halisi za ujenzi huo. 
Alisema kuwa kilichopatikana ni ‘offer for Grant for VIP Launge’ yenye thamani ya fedha za kitanzania shilingi bilioni 5.3. 
Zitto alisema kuwa ili thamani ya ujenzi wa jengo hilo, CAG aliagiza Wizara ya Uchukuzi iwasiliane na mthathimini Mkuu wa Majengo ya Serikali ili afanye thathmini ya thamani ya jengo hilo.
“Kwa mujibu wa taarifa ya Mthamini Mkuu wa Majengo ya Serikali hadi kufikia mwezi Mei, 2014 gharama za ujenzi wa jingo hilo zilikuwa ni Shilingi bilioni tatu na mchango wa Serikali kwa shughuli zilizohusu ujenzi wa jengo hilo ulikuwa ni Shilingi milioni 869.4 tu. 
Alisema kuwa hata hivyo katika mikutano mbalimbali ya bunge kati ya mwaka 2011 na 2012, Serikali ilitoa tamko kuwa jengo la watu mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam kuwa ni jumla ya shilingi bilioni 12!  
 
Zitto alisema kuwa tamko hilo la Serikali ni tofauti ya shilingi bilioni tisa zaidi ya kiwango cha Mthamini Mkuu wa Serikali, hali ambayo inaonyesha kuna matumizi yasiyo ya kawaida ya fedha hizo.

Read More »

LEMA " Natamani Kwenye Amri za Mungu Iongezwe ya 11 Isemayo 'USIWE CCM' "...Hii ni kauli ya Lema Bungeni Ingia hapa kwa habari kamili

0 comments

 

LEO Wabunge wameendelea kuchangia taarifa za Kamati za Hesabu za Serikali PAC na LAAC zinazoonesha ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma. Hapa  chini nimekuwekea  michango  ya  baadhi  ya  Wabun

Lema: Haiwezekani kila siku tukija humu tunazungumzia wizi tu, inatakiwa tuzungumzie mipango ya maendeleo ya wananchi sio kila siku wizi wizi wizi unaosababishwa na CCM.
Lema: Kama ningeweza kupendekeza pia kwenye Amri Kumi za Mungu, ningependekeza iongezwe amri ya 11 inayosema 'USIWE CCM'
  
Lema: Katika mazingira kama haya, nathubutu kusema 'My Country is like a Getho' mambo hayaendeshwi kwa utaratibu kabisa
  
Esther Bulaya: "Yani watu wanagawana posho Bilion 9, na wanafunzi wanasoma kwa shida halafu mnataka tuwapigie makofi haiwezekani"
  
Esther Bulaya: "Hatuwezi kila siku tunakuja hapa majibu yaleyale kila siku wizi wizi wizi, haiwezekani, hawa watu washughulikiwe"
  
Lissu: "Kinachotufikisha hapa ni Rais kushindwa kutimiza wajibu wake wa kikatiba wa kuwawajibisha watendaji wake"
  
Lissu: "Tunachotakiwa kufanya hapa ni kuanza na hawa mawaziri tulionao humu ndani, tukubaliane kuwawajibisha"

Read More »

WAFUASI 29 WA CUF WAACHIWA KWA DHAMANA

0 comments




WAFUASI 29 kati ya 30 waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wameachiwa leo baada ya kutimiza masharti ya dhamana.
Wafuasi hao walikamatwa majuzi huko Mtoni Mtongani, Dar wakati Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba akielekea Mbagala kuwataka wananchi watawanyike baada ya maandamano ya chama hicho kuzuiliwa na jeshi la polisi.
Wafuasi hao 29 wameachiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar baada ya kila mmoja wao kutimiza masharti ya dhamana kwa kutoa kiasi cha shilingi 100,000 pamoja na barua ya mdhamini mmoja ambaye hana hatia.
Mmoja wa watuhumiwa alikuwa bado mikononi mwa polisi kwa kutokamilisha taratibu za dhamana hiyo akiendelea kumsubiri mdhamini wake aliyechelewesha barua ya udhamini.

Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo amesema kesi yao itatajwa tena Februari 12, 2015.

Read More »

Muendelezo wa Lil Wayne kujitoa Cash Money,kuondoka na Drake,Minaj na Tyga, Viko hapa

0 comments

wayne-birdman 

Rapa Lil Wayne ameripotiwa na mtandao wa TMZ kuwa amefungua kesi ya madai ya dola milioni 51 pesa alizotakiwa kulipwa na Birdman toka mwaka jana kwa muziki aliotoa chini ya usimamizi wake.
Malipo mawili anayotakiwa kupokea Lil Wayne ni dola milioni 51 ya kazi za mwaka jana na dola milioni 8 za kurekodi album ya The Carter V toka December 2013 ambazo ni pesa za awali kabla ya kufanya album na dola milioni mbili baada ya album kukamilika kwa album.
Report zinasema Universal inayosambaza album za Cash Money italipa deni la milioni 10 na tayari kampuni hio imewaambia Cash Money watatue matatizo yao.
Lil Wayne akilipwa dola milioni 10 hatakuwa tena na sababu za kutaka kusitisha mkataba na Cash Money, na kuhusu album kutoka hio itabaki kuwa maamuzi ya Birdman.

Read More »

Mh.Mbatia,Jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake

0 comments
POLISI 3 

Serikali imeshauriwa jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake ambao kwa sasa unalalamikiwa kwa sehemu kubwa na wananchi kwa kukiuka haki za binadamu.

Akizungumza jana mjini Dodoma katika kuhitimisha hoja kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa wa chama cha CUF, Prof Ibrahim Lipumba na wanachama wake na kusema kuwa kitendo hicho kilikiuka haki za binadamu ikiwemo wanawake kudhalilishwa kijinsia.

Mh. Mbatia emeongeza kuwa ili chaguzi zijazo ziwe za amani na utulivu ameishauri serikali kubadilisha sera za vyama vya siasa na utawala pamoja na mfumo wa jeshi la polisi kuendeleza amani na utulivu ambavyo kwa sasa vinaonekana kuanza kutoweka.

Read More »

IYOBO: MIMBA YA ‘BABY’ NI FARAJA KWANGU

0 comments
Moses Iyobo akiwa na mpenziwe ambaye ni staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Na Imelda Mtema/Amani
Dansa mahiri wa staa wa muziki Bongo na nje ya nchi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye Moses Iyobo, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa faraja kubwa kama mimba ya mpenzi wake ambaye ni staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Akizungumza na Amani hivi karibuni, Iyobo ambaye nyuma kidogo alipost picha katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kutoa pongezi kwa mpenzi wake huyo kwa kumbebea ujauzito, alisema kuwa hakuna kitu ambacho anaona fahari kama hicho.
“ Mimi tu nikiwaza mtu ambaye ninampenda kwa dhati ana mimba yangu napata faraja kubwa sana hivyo kila siku namuomba Mungu ajifungue salama na ampitishe katika majaribu mazito,” alisema Iyobo.

Read More »

AMBER ROSE ASIMULIA WIZ KHALIFA ALIVYOFANYIWA VIBAYA NA FAMILIA YAKE! SOMA HAPA KWA HABARI KAMILI

0 comments
 
Mrembo mwenye shepu murua matata, Amber Rose ameweka wazi jinsi familia yake ilivyomtenga baada ya kuolewa na Wiz Khalifa.
Rose ameongea kwenye documentary iitwayo Light Girls kuwa baadhi ya ndugu zake hawakuhudhuria harusi yake na Wiz Khalifa kwakuwa aliolewa na mtu mweusi.

Rose mwenye asili ya Creole, Ureno na Italia alieleza kuwa baadhi ya ndugu zake bado wanawatenga watu wenye ngozi nyeusi na wanadhani ngozi yao nyeupe inawafanya kuwa bora zaidi

Read More »

JIFUNZE JINSI YA KUMVUA CH*PI MWANAMKE

0 comments

Miongoni mwa vitu vinavyoleta mashamsham
wakati wa kufanya ngono ni ule ustadi wa
mwanaume kumvua chupi mwenzi wake kwani
huweza
kuongeza hisia si kwa mwanamke pekee bali
hata mwanaume pia.

Zifuatazo ni hatua muhimu za kufuata baada
ya kumchezea kiasi ili kumpa ashiki
itakayomfanya ajue kwamba yuko katika eneo
spesho hivyo aandae akili yake barabara.
*Penyeza mikono yako taratiibu ndani ya
chupi ya mwanamke wako na anza
kuizungushazungusha kugusa kiunoni na
makalioni kabla ya kuishusha mithili ya mtu
anavyosafisha kabichi ile ya duara kabla
haijakatwa,pia waweza binyabinya kimahaba
makalio yake.
Hii husaidia kuyasisimua makalio na sehemu
zingine muhimu na kumfanya awe na shauku
ya kungoja kwa hamu tendo litakalofuata.
*Ukiwa umejawa hisia za tamaa na hulka ya
penzi lake, anza kuishusha chupi hiyo taratibu
sana tena kwa step fupi fupi, ing'ate chupi na unashusha
kidogo unaendelea kumchezea sehemu
mbalimbali,unashusha tena unamnyonya
ulimi/kitovu,mpaka pale unapofanikiwa
kuishusha kabisa.
*Baada ya kufanikisha kuiteremsha mpaka
chini usiiweke taratibu bali irushe mbali
kidogo juu ya begi la nguo au chini. Hii
humwonesha mwanamke jinsi gani ulikuwa na
usongo wa kukutana naye kimwili jambo
linalokuongezea credit na hivyo kumpa hisia
za mahaba juu yako.
*Kuna wale wanaopenda kumvua chupi
mwanamke kwakutumia meno baada ya
kuibana kwenye pindo la juu huku kidevu,pua
na mdomo vikimgusagusa mwanamke
mapajani na kwenye kinena hii husaidia
kumpandisha midadi/nyege za mwanamke
huyo na kama mvua chupi ni fundi basi
mwanamke huweza hata kukojoa hata kabla
hujamwingizia dudu lako
Unaweza pia ukaomgezea za kwako ambazo huwa unatumia japo kidogo na sisi tupate kujua ambacho hatujui kwa kucomment hapa chini.

Read More »

AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUIBA VIATU MKOANI SHINYANGA

0 comments
Inaelezwa kuwa aliyeuawa alikuwa na tabia za wizi na mara kwa mara alikuwa anapigwa kwa tabia zake na leo zimetimia za mwizi 40
Wakazi wa Shinyanga wakiangalia mwili wa marehemu
Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akishirikiana na msamaria mwema kusitiri mwili wa marehemu
Mwili wa marehemu baada ya kusitiriwa-Picha na 
Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kuchukua mwili wa marehemu
Mamia ya wakazi wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio
Askari wa jeshi la polisi wakichukua mwili wa marehemu
Askari polisi wakiondoka eneo la tukio
Wakazi wa Shinyanga mjini wakiondoka eneo la tukio

Read More »

Watafiti wabaini mtindo wa Mwanamke kuwa juu ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa ni hatari kwa wanaume

0 comments
Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.

Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume. 

Wanasayansi hao wanasema:
Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.

“…Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza hatari."

Read More »

HATIMAYE IDRIS MSHINDI WA BBA AONYESHA NYUMBA YAKE ALIYONUNUA HIVI KARIBUNI

0 comments
 
"Nimeona maelfu ya watu njia ya maisha yangu wakati, got kusaidiwa na anatarajiwa kufanya mengi katika kurudi, kuvunjwa na kupondwa na hakuna mtu wa kuchukua me up. 

Mimi wamejitahidi kutoka ngazi ya chini na kila aina ya maneno kama" kamwe kufanya ni "ambapo mimi sasa. Mimi kutikiswa mamilioni ya mikono si kujua nani ana nia nzuri na mimi. dunia ni kwa ajili ya kila mtu ambaye ana ndoto na mapenzi mema yake. 

dunia ni kwa ajili ya wote ambao wanataka mabadiliko ya maisha na kufanya watu tabasamu. ulimwengu kamili ya nzuri watu moyo ni ndoto mimi kusimama leo na kusema "jina langu ni Idris Sultan na sina hiyo maalum, kwamba kipekee, kwamba nguvu kuliko wengi wenu.. I just aliyethubutu kwenda kwa nini i unataka, 

kuweka moyo wangu na hapa i am leo. Huu ni mwanzo tu.Wewe ni kuwakaribisha kujiunga. "Ghalib Said Mohammed wewe ni mtu na moyo wa dhahabu i upendo kama wewe katika blink ya jicho. Asante kwa ajili ya nyumba yangu mpya" Idris

Read More »