ANGALIA UNYAMA ALIOFANYIWA YULE MTOTO ALIBINO ALIYEIBWA
Mwili
wa mtoto (Albino) Yohana Bahati aliyeporwa juzi Geita umekutwa umekatwa
miguu na mikono na kufukiwa kwenye msitu wa Biharamulo.Mtoto
Yohana
S/O Bahati Mwenye Umri wa mwaka 1 aliyetekwa huko Chato,Geita akutwa
amekatwa mikono na miguu ktk Pori la Biharamulo.Ukatili huu umezidi hata
ule wa Shetani R.I.P Yohana
0 comments: