Picha, Range Rover anayotembelea Msanii Ay na comments za mashabiki kuhusu usiri wa mali.
Msaani Daz Baba Amesema Ay ni mfano wa kuigwa, Ni baada ya kumuona na Gari yake aina ya Range Rover. Asema
anampango wa kufanya naye wimbo. AY Alionekana na Gari yake wakati
anaondoka kwenye mazishi ya baba mzazi wa Dully Sykes ‘Mzee Ebby Sykes’.
Hizi ni baadhi ya comment za watu kutoka instagram
0 comments: