Picha,majibu ya video Queen Tunda kuhusu picha za utupu na mchekeshaji Stan Bakora.


haya 2
Video Queen maarufu Tanzania Tunda amehojiwa hivi karibuni kuhusu picha zilizosamba mitandaoni akiwa na mchekeshaji maarufu Stan Bakora,
Tunda anasema hajaona picha zozote, hajaziona na ila akiziona ndio ataongelea hilo jambo hilo.
Je kuhusu  Jose Chameleone? Tunda akasema Chameleone alikuwa Boy Friend wake, hakujua kama Chameleona ana mke na hataki kuongelea mambo hayo.
Je  Jose Chameleone, akiona Picha ? Tunda akasema Siwezi kusema lolote sababu picha sijaziona.

0 comments: