FUNDI SAA APOKEA KICHAPO AKIDAIWA KUMLAWITI MWANAFUNZI WA KIUME WA DARASA LA 3 - ARUSHA
NJEMBA
mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo
amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa
kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.
0 comments: