Kuwa Staa Raha Sana: Diamond Katumiwa Video ya Nusu Uchi na Mrembo wa Kenya akimtaka Amchukukue yeye bila Malipo Tuesday, January 20, 2015


Unaukumbuka  Wimbo  wa  Diamond Platnumz  alioimba "Ntampata wapi ??""...Unaambiwa  mabinti  kibao  wameanza  kujigonga  kwake  kutokana  na  wimbo  huo.

Mrembo na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23  toka  nchini Kenya amemtaka Diamond aende  nchini  Kenya kumchukua  tena  bila  malipo  yoyote....
Tiara amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka  Diamond Platnumz. Kama ni Sura ya mtaratibu , Macho ya Aibu na umbo Mahabibu anavyoooo...!!!!!
  
Angalia Video hapo chini ujionee Mambo Matamu aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..Zari Upo ?  Ongeza  Utundu  mama.
 
CLICK HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO


0 comments: