Huenda hujayasikia haya ya Idris kutoka #BBA_Hotshots

Big-Brother-Hotshots_opt
Ni washiriki wanane tu waliobakia ndani ya Jumba la Big Brother Afrika Kusini, sasa wiki hii ni kama homa inapanda zaidi kwa kuwa kati ya hao ni mshiriki mmoja tu atakayetoka na ile zawadi ya pesa kiasi cha Dola 300,000/-.
Kampeni zinaendelea katika mitandao kumpigia kura Idris, tumeona watu wengi ikiwemo hata wale walioko nje ya Tz wakitia nguvu kubwa kwenye kampeni hizo.
Idris alionekana mwenye furaha usiku wa Jumapili Novemba 29 na kuna machache ambayo aliyasema baada ya kutajwa kuingia kwenye fainali hizo, haya hapa;
“... I love you Africa, I love you Tanzania… This game ain’t bad you know...”– Idris.
Halafu akaimba kwa kubadilisha mashairi ya Wiz Kid ya kwenye wimbo wa ‘Show the Money'; “… Tanzania gonna dance if I come with money…“– Idris.
Sentesi ya mwisho ilikuwa hii; “… Tanzania once again in the finals…“– Idris.
Comedy_week_day28_bba9

0 comments: