MVUA ILIYONYESHA LEO ASUBUHI JIJINI MWANZA YASABABISHA MAFURIKO


Mvua kubwa iliyonyesha asubuhi ya leo jijini Mwanza, imesababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo kama inavyoonekana pichani.
 
Baadhi ya wakazi wa jiji hilo hawana sehemu za kukaa baada ya maji kuingia kwenye nyumba zao na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali.

 

 


0 comments: